kayanda01
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 1,421
- 1,297
Daaah,kumbe ni huyu😁😁,,,jf bhana,
Kwahiyo anatuigizia?
JF ina mambo sana .
Daaah,kumbe ni huyu😁😁,,,jf bhana,
Kwahiyo anatuigizia?
Umeandika kikubwa sana mkuu, big upKwanini umkatae huyo binti wakati alijua wewe unaweza kuwa bora kwake .?
Wanawake hua wana-choices mpaka kubeba mimba yako means kaona wewe unamfaa.
Hvyo muoe huyo binti, kuoa ni Baraka son.
Kuhusu mshahara wewe ni mwanaume utajua namna gani yakupanga budget, mwanaume ni kichwa .
Kunawatu huku mitaani wanawatoto na hawana kazi yakueleweka lakini kila siku familia zao zinakula na kupata mahitaji.
Wewe ni mwanaume, na uwanaume wako unapimwa na namna gani unaweza ku-handle changamoto kama hizo.
GOOD LUCK SON.
Ulivyokuwa una mimina mbegu hukuwaza yote hayo?hayo ndio mavuno ya umwagaji mbegu so deal with it!Habari za muda huu wakuu mimi ni kijana wa kiume
Miez minne iliyopita nilianza uhusiano na binti mmoja jirani na ofisini kwangu. Ni binti mdogo miaka 22 na bado anaishi na wazazi wake.
Ishu ikatokea binti nimempa ujauzito na sasa una miezi mitatu juzi nimeitwa kwao mama yake anataka kunikabdhi binti nikakae nae kwangu hapa anasubiliwa baba yake ambae yupo safarini kikazi arudi mchakato uanze.
Sasa ndugu zangu mimi bado sijajipanga kuowa mshahara wangu ni laki 6 tu na sina kitega uchumi kingine naishi kwenye chumba kimoja tena kisela sina kijiko wala kikombe. Ntawezaje kujivika majukumu ya kuishi na mtu nawaza malengo yangu yatatimia kweli je siku nikikosa kazi na tayari nina familia inanitegemea. Ushauri wenu ndugu zagu hapa nimeshaambiwa na mama mkwe inabidi tuanze kliniki nachoka ndugu zangu. Naombeni ushauri ni kipi nifanye hapa au wenzangu mliopitia hali kama hii mliwezaje kusarvive.
Wewe unamiaka mingapi mi niliowa nikiwa nakipato Cha laki 200000 kwa mwezi Sasa Nina kipato Cha Cha 400000 ila nimeowa mwingine na Nina watoto watatu Sasa ww laki 600000 mwanamke mmoja kweli au una ajenda nyingine zaidi ya hiyo?Habari za muda huu wakuu mimi ni kijana wa kiume
Miez minne iliyopita nilianza uhusiano na binti mmoja jirani na ofisini kwangu. Ni binti mdogo miaka 22 na bado anaishi na wazazi wake.
Ishu ikatokea binti nimempa ujauzito na sasa una miezi mitatu juzi nimeitwa kwao mama yake anataka kunikabdhi binti nikakae nae kwangu hapa anasubiliwa baba yake ambae yupo safarini kikazi arudi mchakato uanze.
Sasa ndugu zangu mimi bado sijajipanga kuowa mshahara wangu ni laki 6 tu na sina kitega uchumi kingine naishi kwenye chumba kimoja tena kisela sina kijiko wala kikombe. Ntawezaje kujivika majukumu ya kuishi na mtu nawaza malengo yangu yatatimia kweli je siku nikikosa kazi na tayari nina familia inanitegemea. Ushauri wenu ndugu zagu hapa nimeshaambiwa na mama mkwe inabidi tuanze kliniki nachoka ndugu zangu. Naombeni ushauri ni kipi nifanye hapa au wenzangu mliopitia hali kama hii mliwezaje kusarvive.
Jf ni jumba la sanaa.JF ina mambo sana .
Hapo umenipiga mkuuWewe unamiaka mingapi mi niliowa nikiwa nakipato Cha laki 200000 kwa mwezi Sasa Nina kipato Cha Cha 400000 ila nimeowa mwingine na Nina watoto watatu Sasa ww laki 600000 mwanamke mmoja kweli au una ajenda nyingine zaidi ya hiyo?
Mkuu hayo sikutaka kuyaongelea na ishu ya bwnaa muslam nilikuwa sijaifahamJf ni jumba la sanaa.
Kilichokuuma bwana muislamu😁😁😁Mkuu hayo sikutaka kuyaongelea na ishu ya bwnaa muslam nilikuwa sijaifaham
Ulipopima oili ulikuwa hujui kuwa gari linaweza kuwaka?Habari za muda huu wakuu mimi ni kijana wa kiume
Miez minne iliyopita nilianza uhusiano na binti mmoja jirani na ofisini kwangu. Ni binti mdogo miaka 22 na bado anaishi na wazazi wake.
Ishu ikatokea binti nimempa ujauzito na sasa una miezi mitatu juzi nimeitwa kwao mama yake anataka kunikabdhi binti nikakae nae kwangu hapa anasubiliwa baba yake ambae yupo safarini kikazi arudi mchakato uanze.
Sasa ndugu zangu mimi bado sijajipanga kuowa mshahara wangu ni laki 6 tu na sina kitega uchumi kingine naishi kwenye chumba kimoja tena kisela sina kijiko wala kikombe. Ntawezaje kujivika majukumu ya kuishi na mtu nawaza malengo yangu yatatimia kweli je siku nikikosa kazi na tayari nina familia inanitegemea. Ushauri wenu ndugu zagu hapa nimeshaambiwa na mama mkwe inabidi tuanze kliniki nachoka ndugu zangu. Naombeni ushauri ni kipi nifanye hapa au wenzangu mliopitia hali kama hii mliwezaje kusarvive.
Ulipopima oili ulikuwa hujui kuwa gari linaweza kuwaka?
mbna kwenye kuzagamua ulikuwa hauna ubishi
Sasa kama hutaki atoe hiyo mimba ndio unataka ulelewe? 😂 Ulivyokuwa inabidi ni kidume wakati wa kumwaga mbegu ndio ujihisi hivyo hivyo katika kulea ujauzito!Binti ataki kutoa huo ujauzito mkuu namimi pia sipemdelei hivo