Binti Ana Ujauzito wa Miezi 3, Sasa Wazazi Wake Wanataka Nikae Naye—Lakini Bado Sijajipanga

Binti Ana Ujauzito wa Miezi 3, Sasa Wazazi Wake Wanataka Nikae Naye—Lakini Bado Sijajipanga

wakati unasimamia kucha hukuwaza hayp?? sasa bora wewe mimi wazazi hawataki kunipa binti yao na kashajifungua na wanataka matunzo daily 10k huduma ya bint na kichanga.
Duuh mbona hatari
 
Kama 600k n ndogo sisi wa #tonetone tunaishije na big families!!!??

Halafu kuoa kisa mmepeana mimba ndoa hua haziendi mbali sana labda kama mmependana kweli kweli

Mwisho, sioni kama ulimoenda huyo demu kwa lengo la kuja kuoa kabisa.

Ukipenda kiukweli hanaga kujipanga!!!
 
Kila binadamu na riziki yake, we mchukue ,kaa naye atakuja na riziki yake, na hata huyo mtoto atakuja na riziki zake! nb ; Wewe una mshahara wengine tunasomba nzege,ujira wetu ni kidogoo, lakini hatukimbii majukumu, kila lahel kwako
Shukran sana mkuu
 
Yaani wewe tayari ni mtu mzima na una mshahra japo ni mdogo halafu unalialia.

Mimi nikiwa kidato cha nne kuelekea kwenye paper nilibebesha mimba binti naye akiwa wakusoma kama mimi ikabidi nilivyomaliza tu paper nikaingia mzigoni wakati nasikilizia matokeo.

Nilikuwa namhudumia binti hadi alipojifungua salama na nikaendelea na masomo huku nikiwa namhudumia kwasababu nilishaweka mazingira ya kitega uchumi kimtindo hivyo masomo hayakuathiri huduma kwa mama na mtoto.

Baadae nikaja kumuoa huyo binti. So, huna haja ya kuhofia kuanza majukumu naamini ndiyo akili itafunguka zaidi kuliko sasa.
Yeah for sure brother ahsante kwa kunitia moyo
 
Suala la kuleta kiumbe kipya duniani waafrika mnalichukulia kirahisi rahisi. Kuleta kiumbe kipya duniani ni suala linalohitaji maandalizi ya kiuchumi, kiakili, kisaikolojia. Kuzaa ni jambo zito
Nimeteleza kaka mkubwa no way out
 
Mtu kama wewe ilitakiwa uhasiwe tu kwasababu ni hasara kwa taifa. Serikali iliona mbali sana kuweka adhabu ya miaka 30 jela kwa mtu anayetembea na mwanafunzi. Ninamshauri wazazi wa huyo binti wadili na wewe kwa mbinu za kimila endapo utazingua.
Wadeal namimi vp kwani huyo binti ni mwanafunzi
 
OA,Usipooa unatuongezea SINGO mothers mjini na wadangaji.
Pili Mke huhitaji laki sita yote kumtunza.Weka Bajeti ya 150,000 kwa mwezi.Atakufulia,Atakupikia,Atakulisha na yeye utamla na Utabakiwa na 450,000 ya kulipia kodi na kupambani ndoto zako.

Cha Muhimu fahamu kwamba,Binti wa miaka 22 kama anajielewa anafaa kabisa kuwa mke.
 
Umeongea ujinga. Kila mtu atalipwa kwa anachokifanya. Yeye analilia juu ya k ya huyo binti anamgeuza anavyotaka alitegemea yatatokea mahindi?.

Pili huyo binti amchukue aishi nae tu. Kwa familia zetu nyingi kuoa hakuna kujipanga. Utajipanga ukiwa ndani na mkeo.

NA ANA BAHATI TAYARI ANA KAZI YA KUINGIZA LAKI 6 KWA MWEZI. SISI WENZIE TULIANZIA BILA BILA JOBLESS. TATIZO VIJANA WA SIKU HIZI NI WAOGA HALAFU WANAPENDA TAMU ASAHAU HATA KINACHOFUATA

AKILI YA KUIPANGILIA HIYO LAKI 6 ATAIPATA YEYE MWENYEWE AKIANZA MAISHA NA MKEWE. NA ATAIPANGILIA VIZURI.
TATIZO WAKIMUACHIA TU AJIPANGE KAMA ANAVYOSEMA UJUE YULE BINTI IMEKULA KWAKE,HATAMUOA KAMWE.
Mkuu mbona unataka kuwasanua wazee
 
Baba zetu walioa wakijitafta na wakafanikiwa.

Mshahara wa laki sita unatosha kuendesha maisha wa watu wawil.
Kikubwa jitahd chakula nunua vya jumla kama vile mahind junia.

Na ishi maisha ya kawaida tu usiishi maisha ya kiturist utaona family ni mzigo.

Mchukue binti kaanzishe family ondoa uoga.
Shukran saba mkuu
 
OA,Usipooa unatuongezea SINGO mothers mjini na wadangaji.
Pili Mke huhitaji laki sita yote kumtunza.Weka Bajeti ya 150,000 kwa mwezi.Atakufulia,Atakupikia,Atakulisha na yeye utamla na Utabakiwa na 450,000 ya kulipia kodi na kupambani ndoto zako.

Cha Muhimu fahamu kwamba,Binti wa miaka 22 kama anajielewa anafaa kabisa kuwa mke.
Sawa mkuu shukrani sana
 
Back
Top Bottom