Snow leopard
Senior Member
- Jan 21, 2025
- 180
- 375
Hii inaitwa operation tokomeza single mother
Kivipi yaaniMnaishi Kiswahili sana lakini...
Shukran sana kakaUsifanye jambo hilo la kutoa mimba. Mchukue binti. Hiyo ndiyo maana ya upendo. Usimpende wakati wa starehe tu. Umaweza kuwa na mashaka mengi lakini ukianza maisha yawezekana ukashangaa maisha yanaenda.
Mambo ya kitoa mimba, waweza kuishia kufanya mauaji ya watu wawili, mama na mtoto. Mtoto huyo atakapokuwa mkubwa unaweza kujishangaa kwa nini ulifikiria kumwua. Sahizi humwoni, unaweza usiwe na uchungu naye, lakini akishakua, anaweza kuwa chanzo cha firaha yako. Yapokeeyote kwa moyo wa upendo, trna wala usioneshe kama vilr unalazimishwa.
Yeah sure kakaKati ya vitu ambavyo huwezi kukwepa, ni pamoja na kubeba majukumu ya kulea familia.
Daah mnawezaje wazeeJamaa mshahara 6k mbona unaishi si wenzio hatuna magetho😁😁😁😁
Mwanangu ujawahi kuwa na akili😁Mchukue uwe unapoza injini, na hiki kipindi cha elnino kinachokuja na kaubaridi kake, unakuwa unajipa joto taratibu tu.
Kiaje mkuu😁😁😁Binafsi nmekuelewa sana, utawalomba sana humu, subiri 😎
😁😁😁Mkuu,
Anza mkakati wa malezi mapema, nsikufiche mkuu muhindi anapesa zetu nyingi sana, mwendo ni odd mbili mbili kwa siku
Kila stake weka 100k, utashangaa ndani ya week mbili hiyo sio changamoto tena, sasa akili itaanza kuwaza kuhusu uridhi
Nyie watu amjielewi na stress hizi hata hiyo nguvu ya kulomba naitoa wapiTena wakiwa wajawazito engine inakua ya moto mnoo, nashindwa kuelewa anaogopaje mambo mazuri hivyo
Kwamba humu jf kila mtu anakula 10m😄😁Laki 6 nyingi sana, bahati mbaya tupo JF kila mtu boss analipwa 10m kwenda juu.
Kuna watu wanalipwa 200k afu fresh tuu familia inadunda
Sana mkuuKwamba hilo jambo limekuja ghafla?
Kabisaa yaniiUna makosa wajibika.
lakini sijui nani ongee na mabinti kuhusu hili jamani.
Hutakiwi mbebea mimba mtu ikiwa hamjapanga.
Jamaa umeamua kunikandia kabisa😁😁😁Hujamuelewa,huyo Fala alitaka kuminya kukwepa majukumu.
Aiseee ntajitahidi mkuuHivi upo sawa kweli? Laki sita hiyo kwani ni ndogo? Kwani ukiishi maisha ya robo ya kipato chako na nyingine ukaweka saving kwa baadaye. Si utakuwa mbali, watu hawajafikisha laki nne kwa mwezi na wanaishi na familia