Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Wazee wanaiga mfano wa Dr Mengi na Prof Kapuya.
Una hela ama una xheti tu cha uhandisi? Kama hela ipo nicheki pm tuyajenge.Mwenye kuhitaji kuoa ana profession ya uhandisi na yupo serious
Umeambiwa kama upo interested nenda pm uache maelezo na namba na wewe unataka ufuatwe pm tena, fuata maelekezoUna hela ama una xheti tu cha uhandisi? Kama hela ipo nicheki pm tuyajenge.
Safi Khantwe umeona tatizo la watu kutosoma kwa makini. Tena uandishi wa 'x'.Umeambiwa kama upo interested nenda pm uache maelezo na namba na wewe unataka ufuatwe pm tena, fuata maelekezo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilisema soma kwa makini kisha tuna ujumbe PM yangu.Una hela ama una xheti tu cha uhandisi? Kama hela ipo nicheki pm tuyajenge.
Na Atashangaa watakaomfuata PM sio mtoa mada.Umeambiwa kama upo interested nenda pm uache maelezo na namba na wewe unataka ufuatwe pm tena, fuata maelekezo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ajibu Hoja ndio waeende pm ana hela au cheti?Umeambiwa kama upo interested nenda pm uache maelezo na namba na wewe unataka ufuatwe pm tena, fuata maelekezo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuja jamani sasa hivi unapenda wasichana wafupi?Nilisema soma kwa makini kisha tuna ujumbe PM yangu.
Haya kuja PM na namba yako. Hakuna ubaguzi wa kimo wala rangi. Ni matter ya upeo, mvuto, tabia na elimu (high school & above) plus shepu nzuri.
Vijana hapo ndio mnafeli. Mnashindwa ku-reason nje ya box. Mnashindwa ku decipher.
Yale yale matatizo yetu suguSafi Khantwe umeona tatizo la watu kutosoma kwa makini. Tena uandishi wa 'x'.
Ajibu ndio lakini utaratibu ni ule ule, ukiridhika unaenda pm kwa miguu yako unadondosha namba
Ajibu ndio lakini utaratibu ni ule ule, ukiridhika unaenda pm kwa miguu yako unadondosha namba
Sent using Jamii Forums mobile app