Binti anahitajika kwa ajili ya ndoa. Soma kwa makini

Mtaani anaweza asikuulize ila akatazama kwa macho mwenyewe kama hela hapa ipo au haipo. Lazima tukubaliane kuwa katika maisha kila mtu ana kipaumbele chake

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkubaliane na nani? Mwanamke anayetanguliza pesa mbele ataolewa na wanaume jamii za kikongo tu wanaoishi mara moja.

Na ni vibaya ndiyo maana mkitongozwa ana kwa ana hamsemi ila mtandaoni utasema.
 
Wewe hapo unatakiwa ukubaliane na hilo, kama nilivyosema ni suala la vipaumbele...mtu kama kipaumbele ni pesa mwache atafute mwanaume mwenye pesa anayemtaka ili afurahishe moyo wake mengine atapambana nayo mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe hapo unatakiwa ukubaliane na hilo, kama nilivyosema ni suala la vipaumbele...mtu kama kipaumbele ni pesa mwache atafute mwanaume mwenye pesa anayemtaka ili afurahishe moyo wake mengine atapambana nayo mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app

Sikubaliani naye.

Pesa ni kipaumbele ukiwa huna na huwezi kutafuta. Ukishakuwa naye ndiyo unaanza kuzizoea na kuanza kuzunguka kuomba ushauri.
 
Acheni kutaka kuwa na mamlaka na pesa za mtu, ndo maana mnagegedwa na kuachwa mkiwa single maza hafu mnaanza kulalamika, mwanaume yoyote ambaye ukimkuta na pesa zake we mwanamke jiangalie hata akikuowa mtaishia kugombana maana muda wote utataka ujue pesa zake source ni nn mademu zake kama anawapa pesa nk mwishowe hamtaelewana
Wewe hapo unatakiwa ukubaliane na hilo, kama nilivyosema ni suala la vipaumbele...mtu kama kipaumbele ni pesa mwache atafute mwanaume mwenye pesa anayemtaka ili afurahishe moyo wake mengine atapambana nayo mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini inabaki kuwa sio sahihi. Na madhara yake ni makubwa.
Madhara makubwa kwako ama kwake? The problem with you men mnafight sana wanawake wafit kwenye situations zenu jambo ambalo si lazima. Mnasahau kwamba hata ninyi hamuoi mwanamke yeyote tu, tena ninyi mnaenda mbali kutaka vitu ambavyo vipo nje ya uwezo wetu mfano mzuri ni huyu mtoa mada, amesema anataka mwanamke aliyeenda shule, mwenye shepu nzuri sura nzuri sasa kuna ubaya mwanamke naye akaweka demands zake ambazo yeye zinamsuuza moyo hata kama za kipuuzi? Yeye hapa akipata mwanamke mwenye sifa zote hizo anakuwa ameridhisha moyo wake kwa asilimia kubwa vipi kuhusu muolewaji sasa? Yeye kazi yake ni kumfurahisha muoaji tu? Yeye hapaswi kufurahi? Msiwe wabinafsi sana, kama ukikutana na mwanamke anataka pesa na wewe unamtaka na sura yake nzuri na figa yake nzuri basi fanya uzitafute hata mkikutana hakuna anayekuwa kapoteza na hakuna anayemtumia mwenzie maana nyote wawili nafsi zenu zimeridhika

Madhara kwake na mimi.

Sina double standards na sio wanawake tu wanaotafuta wanaume wenye pesa hadi wanaume wapo wanawatafuta nyie wenye pesa. They also make unremarkable mistakes.

Mvuto wa unayetaka kuishi naye ni muhimu saana sio kwa mwanamke wala kwa mwanaume.

Mistake ambayo wengi tunaifanya tunasukumwa na njaa, binadamu anatabia akishashiba anarudi kwenye uhalisia wake. Unashangaa umekinai. Whats next? Huyu mwanaume hanifai tuluoendana mwanzo ila sasa sijui imekuaje. Huyu mwanamke hanifai...
 
Acheni kutaka kuwa na mamlaka na pesa za mtu, ndo maana mnagegedwa na kuachwa mkiwa single maza hafu mnaanza kulalamika, mwanaume yoyote ambaye ukimkuta na pesa zake we mwanamke jiangalie hata akikuowa mtaishia kugombana maana muda wote utataka ujue pesa zake source ni nn mademu zake kama anawapa pesa nk mwishowe hamtaelewana

Sent using Jamii Forums mobile app
Eti singo maza, kwani kuwa singo maza ni ulemavu? Mwanaume unajisifia kutelekeza familia hebu ona aibu japo kidogo. Na wanawake wote walioachwa na watoto wamezaa na wanaume wenye pesa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madhara kwake na mimi.

Sina double standards na sio wanawake tu wanaotafuta wanaume wenye pesa hadi wanaume wapo wanawatafuta nyie wenye pesa. They also make unremarkable mistakes.

Mvuto wa unayetaka kuishi naye ni muhimu saana sio kwa mwanamke wala kwa mwanaume.

Mistake ambayo wengi tunaifanya tunasukumwa na njaa, binadamu anatabia akishashiba anarudi kwenye uhalisia wake. Unashangaa umekinai. Whats next? Huyu mwanaume hanifai tuluoendana mwanzo ila sasa sijui imekuaje. Huyu mwanamke hanifai...
Tufanye kila mtu apambane na hali yake halafu tusipangiane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom