Binti anahitajika kwa ajili ya ndoa. Soma kwa makini

Binti anahitajika kwa ajili ya ndoa. Soma kwa makini

Habari zenu humu!
Msichana umri miaka 28-35 anahitajika kwa ajili ya ndoa. Awe mkristo, elimu ya chini kuanzia kidato cha sita, awe msichana mzuri kitabia na muonekano. Ambaye yupo tayari kuolewa na mwanaume wa umri wa miaka 50. Akiwa na kazi asiwe na kazi ni sawa. Kama ana elimu nzuri kazi atatafutiwa. Mwenye kuhitaji kuoa ana profession ya uhandisi na yupo serious. Binti awe serious,.kama ni mhuni kaa mbali. Njoo PM acha maelezo na namba. Only serious ones. Karibuni!
Dah yani unatafuta .mke kama unatafuta mganga vile
 
Back
Top Bottom