Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Hakuna mwanaume anayependa watoto wake wateseke, we jifikilie wazazi wako unazani waliishi bila kugombana? Wanawake wa leo hampendi kujikosoa, hampendi kujiona kama ninyi mmeolewa mnatakiwa mambo yenu yawe wazi kwa waume zenu, ndo maana kama wewe unafanya shughuli za kuingiza kipato hautataka mumeo ajue pesa zako na hatuchangia katika maendeleo. Wakati huohuo utataka mumeo atoe pesa zake kwa ajili ya kukuhudumia wewe hadi mavazi yako na usikute hata mafuta kwenye gari huweki na pesa zako unazo. Ndo maana wanaume na sisi tunatafuta faraja nje.Eti singo maza, kwani kuwa singo maza ni ulemavu? Mwanaume unajisifia kutelekeza familia hebu ona aibu japo kidogo. Na wanawake wote walioachwa na watoto wamezaa na wanaume wenye pesa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app