Binti anahitajika kwa ajili ya ndoa. Soma kwa makini

Eti singo maza, kwani kuwa singo maza ni ulemavu? Mwanaume unajisifia kutelekeza familia hebu ona aibu japo kidogo. Na wanawake wote walioachwa na watoto wamezaa na wanaume wenye pesa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mwanaume anayependa watoto wake wateseke, we jifikilie wazazi wako unazani waliishi bila kugombana? Wanawake wa leo hampendi kujikosoa, hampendi kujiona kama ninyi mmeolewa mnatakiwa mambo yenu yawe wazi kwa waume zenu, ndo maana kama wewe unafanya shughuli za kuingiza kipato hautataka mumeo ajue pesa zako na hatuchangia katika maendeleo. Wakati huohuo utataka mumeo atoe pesa zake kwa ajili ya kukuhudumia wewe hadi mavazi yako na usikute hata mafuta kwenye gari huweki na pesa zako unazo. Ndo maana wanaume na sisi tunatafuta faraja nje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeshahama mada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah tatizo mapenzi na pesa ni kama uji na mgonjwa. But when it comes to making proper choices pesa haina nafasi kubwa sana hali kadhalika shepu na rangi ya ngozi ya mtu havimati sana. Ishu ni upendo wa kweli!
 
Ila sharti la ndoa pia ni kuwa hupewi kuonja mzigo hadi ifungwe ndoa, sawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado hajapatikana. Bahati mbaya waliokuja inbox ni wa mikoani. Nilisahau kuweka sawa inabidi awe hapa Dar es Salaam.
 
Muwege wakweli huyo mjomba hajawai kuoa kweli? Kwa nini anaamua tafuta Dogo Dogo?

BTW, Miaka 50 sijui nizame pm nikale zangu Raha za dunia na pension juu😂😂😂

Nina wasiwasi na wewe Dalali mleta Uzi😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…