Binti anayeonesha uchi mtandaoni ‘Live’, achukuliwe hatua haraka

Possibly wewe ndo unampa attention na watu wengine wakamfuatilie just ignore
 
Mkuu Mali yake we inakuhusu nini! Cha kushauri labda serikali itoze Kodi kwa kila "K" za wadangaji kulingana na radius
 
Hahaha unaletewa unachokipendelea sana hahaha huwezi ukaletewa masuala ya chakula na vitabu wakati wewe ni mdau wa picha za uchi uchi, unaletewa kile unachokitafuta mara kwa mara
Eti anatudanganya hizo video zimekuja bahati mbaya 😅😅😅

Na hapo usikute kakapigia nyeto katoto ka watu halafu ndio anakuja kuandika uzi dunia ina unafiki sana
 
Weka jina la Instagram page page, otherwise ni UWONGO
 
NENDA KWA min MEE akufahamishe MKUU, mi Niko kwenye ramadhani SINA hakika kama UNATAKA UJIRIZISHE au una malengo Yako mengine
Huna lolote zaidi ya kufurahia mbususu za ngono. Hamna Muislamu safi aliyefunga ambaye anaingia mtandaoni kuangalia video za uchi
 
Huna lolote zaidi ya kufurahia mbususu za ngono. Hamna Muislamu safi aliyefunga ambaye anaingia mtandaoni kuangalia video za uchi
SAWA kaka ishi humohumo, mi nimeenda kupata TAARIFA ZINAZO jiri duniani KWA bahati mbaya nakutana na huyo DADA ulitaka nizibe macho na Nisha ONA, hapana tuungane kukemea kabla mambo hayaja hqribika ZAIDI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…