SI KWELI kaka, NILIKUA SIMJUI, katika pitapita ZANGU TU ndo nikamuona HIVO SIONI haja ya kunihusisha NA HUO upuuzi.Eti anatudanganya hizo video zimekuja bahati mbaya 😅😅😅
Na hapo usikute kakapigia nyeto katoto ka watu halafu ndio anakuja kuandika uzi dunia ina unafiki sana
Basi we ndo sheteni halisi MANA BADO unavaa NGUO ILIHALI ilitakiwa ukae uchiInasemekana adam na eva walipokula tunda walijiona wapo uchi... Kumbe sasa binadam asili yetu ni uchi tunamkosea mungu kwa kuvaa nguo angetaka tuvae angetuumba na nguo kama wanyama mtoa mada we ni mtu wa shetan mana unakataza watu wa mungu wasitembee uchi
DUUH,Sio kila mtu ana insta
HUU ni MWEZI mtukufu MKUU, KUFANYA HIVO ni kisambaza dhambi SITO WEZA FANYA hivoVideo iko wapi.
wewe ndie mwenye matatizo, mtu aonyeshe uchi wake fb au ig wewe uje huku jf umfungulie thread?😝😝DAH tulipo FIKA SIO pazuri, Kuna HUYO Binti MTANDAONI huonyesha uchi wake live insta, ALAFU anafunika, SIJUI ni WA bongo hapa, KWA KWELI SERIKALI YETU msichekee HAYA MAMBO tuelekeako WATOTO wetu WA kike wataharibikiwa, kama tunaweza kulalamika acc za wanasiasa FULANI zifungiwee tunaomba na acc za watu ka HAWA nazo zifungiwee, INASIKITISHA SANA Yani ANAONYESHA kabisa TENA insta live. Kitumbua HICHO, anawazalilisha wanawake wenzie HATA kama ni NJAA au kukuza acc, hapaaaanaaaa
Hapana LENGO langu nikupaza sauti hatua KALI ZICHUKULIWE, tukikaa KIMYA uovu utaendelea.wewe ndie mwenye matatizo, mtu aonyeshe uchi wake fb au ig wewe uje huku jf umfungulie thread?😝😝
Kwa nini umetuletea hapa JF huo upuuzi si ungeachana nao hukohukoSI KWELI kaka, NILIKUA SIMJUI, katika pitapita ZANGU TU ndo nikamuona HIVO SIONI haja ya kunihusisha NA HUO upuuzi.
Ndo maana wazazi tunaaswa tusiwape watoto simu.Baadhi ya nchi wanatengeneza sheria za kuwalinda watoto na mitandao.Hata youtube kuna version za watoto..WATOTO wetu ambao BADO HAWAJA komaa kiakili, ULISEMA iwe HIVO una Manisha dawa za KULEVYA zizwe HADHARANI SABABU MTU alazimishwi kutumia SIO?
Basi dawa za KULEVYA SI za SERIKALI NENDA kazitumie hadharaniUchi sio wa serikali ni wa mtu binafsi
Kwani LENGO la KULETA hapa JF ni WEWE ukaangalie au tukemee hiyo tabia na NYINGINE kama HIZO, wakina ANKO t wamefanya mangapi mlisha wakemea, na je JUHUDI ZENU zimezaa matunda?Kwa nini umetuletea hapa JF huo upuuzi si ungeachana nao hukohuko
Unapiga nyeto mwezi mtukufu wa ramadhani na unajiita mwislamu kweli?SAWA kaka ishi humohumo, mi nimeenda kupata TAARIFA ZINAZO jiri duniani KWA bahati mbaya nakutana na huyo DADA ulitaka nizibe macho na Nisha ONA, hapana tuungane kukemea kabla mambo hayaja hqribika ZAIDI.
Ni kweli lakini Haina MAANA tusikemee, utajifikiria vipi ukikuta ni mwanao WA kumzaaNdo maana wazazi tunaaswa tusiwape watoto simu.Baadhi ya nchi wanatengeneza sheria za kuwalinda watoto na mitandao.Hata youtube kuna version za watoto..
Pili huwezi linganisha dawa za kulevya na masuala ya utupu.
Masuala ya utupu na ngono ni ubinadamu, sio vibaya, isipokua yana muda wake, hata hao watoto tumewapa kwa kuangalia utupu live na wake zetu, sio mbaya, suala ni timing.Wewe kama mtu uzima ukiangalia kwa ridhaa yako haina shida, utajijua mwenyewe, ukishindwa kujicontrol.
Lkn pia hata hayo madawa ya kulevya ni vile tu sio mambo unayoyafuatilia, otherwise ukiyataka na kuanza kufuatilia utashangaa jinsi kuna watu wana ka ulimwengu kao, wanatumia na kununua, na kuuza kama embe tu.
Hahaha, usijitetee, ndo umeangalia hivyo tayari, na umemuongezea viewers, tena videp mbili kabisa.Tena na jina lake umelitafuta humu indirectly mpaka umelipata, angalia sasa usianze kwenda kumtafuta kwa nguvu..Kaka sijaenda kuangalia nimekutana NAYO TU KWA bahati mbaya, mwanzo nilizani hamaanishi ila NILIPO kutana na video NYINGINE ya kwake nikaona kumbe ni content creator basi tumdhibiti
Nashukuru MKUU KWANI umenishuhudia nikipiga hiyo nyeto, SINA hakika kama KUPIGA nyeto ni zinaa hiyo LABDA IPO kwenye kitengo KINGINE cha dhambi ila SIO zinaa au ngonoUnapiga nyeto mwezi mtukufu wa ramadhani na unajiita mwislamu kweli?
Weka link ya hiyo acc, yaani mwezi mtukufu unakuwa na roho mbaya....!MWEZI mtukufu HUU kaka 🙏🙏🙏🙏🙏tutakuwa tunampa kiki, ALAFU acc yake Ina MIEZI miwili TU, ana views wahatari kawafunika Hadi wasanii WAKUBWA wamarekani MKUU,
utawachukulia hatua wangapi mkuu , siku hizi wanawake kuonyesha k zao mitandaoni imekuwa fashion..Hapana LENGO langu nikupaza sauti hatua KALI ZICHUKULIWE, tukikaa KIMYA uovu utaendelea.
Nakupa KISA kimoja cha mcha MUNGU MMOJA, alikua ana Sali na KUFUNGA SANA, MWENYEZI MUNGU akamtuma malaika aaangamize KILE Kijiji malaika ALIPO FIKA akamuona yule mcha MUNGU akirudi KWA MUNGU kumwambia nimemkuta mcha MUNGU akisali na KUFUNGA je nifanyeje, MWENYEZI MUNGU akamuamuru malaika AANZE na huyo mcha MUNGU kumuangamiza SABABU hajakataza maovu ye alikua anajiangalia TU nafsi yake, na hawakanyi wengine
Hapana MKUU unajua SISI WATU WAZIMA KIDOGO tunajitahidi kunusa hatari nakuwahi kuitahadharisha Dunia ili tusishituke kumekuchaHahaha, usijitetee, ndo umeangalia hivyo tayari, na umemuongezea viewers, tena videp mbili kabisa.Tena na jina lake umelitafuta humu indirectly mpaka umelipata, angalia sasa usianze kwenda kumtafuta kwa nguvu..