Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Wewe ni mpumbavu umeangalia uchi wa binti halafu unataka tukusaidie kukemea, jikemee wewe kwanzaKwani LENGO la KULETA hapa JF ni WEWE ukaangalie au tukemee hiyo tabia na NYINGINE kama HIZO, wakina ANKO t wamefanya mangapi mlisha wakemea, na je JUHUDI ZENU zimezaa matunda?
Feel sorry MKUU,🙏🙏🙏🙏sitoweza ila chunguza HUMU JINA katajwa tayari Hadi NCHI yake, TAFUTA tuWeka link ya hiyo acc, yaani mwezi mtukufu unakuwa na roho mbaya....!
Unajifanya mbabe Sasa, KESHO mtoto WAKO akiiga akaanza kusaura UNAANZA kuzifanya kukunja sura mtoto WA mwenzio ni WAKO pia, USISUBIRI mambo yaharibikeWewe ni mpumbavu umeangalia uchi wa binti halafu unataka tukusaidie kukemea, jikemee wewe kwanza
Hapana MKUU🙏🙏🙏 MWEZI WA HESHIMA huuWeka link tuku support basi...
🤪😜
Weka jina hapa na nchi kunirahisishia mambo ya kuperuzi.Feel sorry MKUU,🙏🙏🙏🙏sitoweza ila chunguza HUMU JINA katajwa tayari Hadi NCHI yake, TAFUTA tu
Unajifanya mbabe Sasa, KESHO mtoto WAKO akiiga akaanza kusaura UNAANZA kuzifanya kukunja sura mtoto WA mwenzio ni WAKO pia, USISUBIRI mambo yaharibike
Bila shaka umeshauona huo uchi, huchelewi?Anaitwa Nadia ni msouth Africa.
DAH Yani SIJUI tufanyaje TU, KWA kweliutawachukulia hatua wangapi mkuu , siku hizi wanawake kuonyesha k zao mitandaoni imekuwa fashion..
HAHAHAHAAA MKUU BINTI YAKO AKINIPENDA SANA, WE HATA HAKUSIKILIZI ZAIDI ATAONA MDINGI NI MKUDA TU, TENA ATAKUWA ANANISIMULIA ULIVO MVIVU WA KUHUDUMIA FAMILIA, KILA KITU UKIOMBWA JIBU NI SINABinti yangu najua jinsi ya kumlea, ila mtu kama wewe unayependa kuangalia uchi wa mabinti ni wa kuweka mbali na mabinti zetu wapendwa
Sasa msikitini na kanisani WATAENDA kumkamata?Hayo mambo ulitakiwa kuripoti misikitini au kanisani, serikali kujenga barabara tu bado ni shida halafu unataka waanze kufuatilia nyuchi za wanawake.
Umejiona ulivyo muharibifu wa mabintiHAHAHAHAAA MKUU BINTI YAKO AKINIPENDA SANA, WE HATA HAKUSIKILIZI ZAIDI ATAONA MDINGI NI MKUDA TU, TENA ATAKUWA ANANISIMULIA ULIVO MVIVU WA KUHUDUMIA FAMILIA, KILA KITU UKIOMBWA JIBU NI SINA
MKUU hapa LENGO ni kujadili jinsi ya kuzuia HIVO vitendo na SI vinginevotuanze na
uchi n nn mwandishi??
nan anatakiwa kuuwona??
na wangap wameolewa ama kuoa na jukyta wa mwenzao aujaguswa
huyu jamaa anamuongelea mdada fulani hivi yule ni Content Creator wa Zambia staili yake ndio hiyo anafunua nguo kwa mbele kwa Spidi na kufunika kwa Spidi ndani ya Sekunde 1 anakuwa kashamaliza sasa Genz huwa wanamfuatilia sana wakiwa wanajaribu kuscreenshot na kuzoom ili waangalie.Hajaweka hata link tuhakikishe kama siyo chai hiyo story yake.
MKUU usiniharibie SIFA ZANGU MKUU, Nisha PATA MKE mtarajiwa HUMU jamvini Sasa nikama unanichoma mkuuUmejiona ulivyo muharibifu wa mabinti
Ndio maana watu wote wenye akili timamu wamekukataa kwenye uzi wako wamegundua wewe ndio michezo yako kuchungulia nyuchi za mabinti wadogo
HASWA MKUU ndio HUYO, anafunua halafu anafunika KWA spidi lakini MNAKUA mshaangalia, na kitumbua mmekiona kabisa HANA HATA aibu Zambia karibu tuongee na ubalozi WAO wafanye jambo MANA SI PUNDE WA bongo wataiga views zinakimbia balaahuyu jamaa anamuongelea mdada fulani hivi yule ni Content Creator wa Zambia staili yake ndio hiyo anafunua nguo kwa mbele kwa Spidi na kufunika kwa Spidi ndani ya Sekunde 1 anakuwa kashamaliza sasa Genz huwa wanamfuatilia sana wakiwa wanajaribu kuscreenshot na kuzoom ili waangalie.
Sasa huyu jamaa ndio amemuona huyo dada akajua ni Mtanzania.
Kwani hamna watu wanatembea uchi huko mtaani?NINGE muonesha picha yake NINGE kuwa nimemtangazia soko, SIJA FANYA HIVO, kaka SIO kila alieko HUMU ni mhuni kama WEWE, vua basi NGUO na WEWE utembee uchi SI mwili wako
PUngezeni risala wekeni picha au link. Mnataka tumfokee binti na hatujaona picha?huyu jamaa anamuongelea mdada fulani hivi yule ni Content Creator wa Zambia staili yake ndio hiyo anafunua nguo kwa mbele kwa Spidi na kufunika kwa Spidi ndani ya Sekunde 1 anakuwa kashamaliza sasa Genz huwa wanamfuatilia sana wakiwa wanajaribu kuscreenshot na kuzoom ili waangalie.
Sasa huyu jamaa ndio amemuona huyo dada akajua ni Mtanzania.
MI SIO MUHUNI MWENZAKO, BADILIKA BROTHERKwani hamna watu wanatembea uchi huko mtaani?
Nani umeona anapagawishwa nao. Wewe kilichokuuma nini kama wengine wanaona fahari kuwa uchi? Tena wenye uchi wao?
Utashangaa umeuomba huo uchi ukanyimwa ukaja kulialia huku.
Wanawake wenyewe hawajalalamika we dume zima inakuuma . Mpuuzi sana! Badilika mambo yao waachie wenyewe hata kama anajichomachoma its oky