Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
- Thread starter
-
- #61
Ndio maana kwenye jinai unadhibitisha pasi na shaka.Evidence zilikuwaje? What if mdada anamzingizia mkaka? Je mdada alipiga kelele ?
Tusiingie mtego wa kuwapa sana kina dada ushindi kwenye kila kesi
Man Rody soma sababu ya kuachiwa ni kukosea kwa vifungu vya sheria.Dah ata kama wamei twist kesi hivo sawa kaingiliwa bila ridhaa yake na sio kwa kutishiwa maisha, mbona bado ina uzito case kwann jamaa aachiwe?
Si kuna vipimo vya force entry? Iweje rapist aachiwe kama uthibitisho umenyooka? labda rushwa imetembea. Au ulakini wa story ya dada mana ukijiuliza kweli kwann alitulizana kesho yake akaliwa tena but maybe alitishiwa maisha dah! Rape ni rape bana
Pole haisaidii, nani wa kulaumiwa?Pole yake
nina hoja basikama unabisha, bisha kwa hoja
I'm grateful for being alive.hope u are fine dear ๐๐พ
so ulifikiri mi nitaanza kuzozana na wewe hapa ๐ ๐ ๐ ๐ ๐I'm grateful for being alive.
Wala unanieleza tu kistaarabuso ulifikiri mi nitaanza kuzozana na wewe hapa ๐ ๐ ๐ ๐ ๐
Kimya kimya hivyo Ata kelele HaipoBinti (Miaka 19) yupo kwa Basi, anatoka zake Dar kwenda Uyulo-Mbeya kumsalimu Shangazi yake, anawasiliana nae kwa Simu akiwa safari, lakini anafika Iringa Simu inakata Chaji.
Binti anamuomba Simu Jamaa aliyekaa pembeni yake aitwaye MAPINDUZI NGALLA, lakini anapiga Simu Shangazi hapatikani. Jamaa anamchombeza Binti kwani unaenda wapi?
Binti anajibu Uyole-Mbeya,
Jamaa anamwambia mmh! pale Uyole usiku kuna wauaji, twende ukalale kwangu Mbalali kisha kesho utamalizia safari yako, Binti anamuuliza kwako unakaa na Familia?
Jamaa anajibu ndio.Basi Jamaa anamchukua Binti anaenda nae kwake kijiji cha URUNDA- Mbarali, , kumbe Jamaa anakaa peke yake, wanalala chumba tofauti, lakini usiku Jamaa anaenda chumbani kwa Binti, anadai penzi, Binti anakataa lakini Jamaa ana force kingi - anambaka Binti, kesho inafika Jamaa anamfungia Binti ndani, usiku anambaka tena, kesho yake Jamaa anasahau kufunga mlango Binti anafanikiwa kutoka ndani, baadae Jamaa anakamatwa kwa ubakaji. Jamaa ameshinda kesi. Unajua kwanini? Kifungu -130(1)(2)(b)- ambacho alishtakiwa nacho kinaelezea ubakaji ambao Mwanamke anakubali kufanya mapenzi lakini kukubali kwake kunatokana na kutishiwa kuuliwa, kuumizwa... lakini hii kesi ushahidi wa Binti ulikuwa kwamba alilazimishwa kufanya mapenzi bila ridhaa (consent) yake, hii kitu inaangukia kifungu kingine tofauti -130(1)(2)(a) cha Kanuni ya Adhabu.
Mahakama ya Rufaa chini ya Jaji MASHAKA imemuachia jamaa aliyekuwa amefungwa miaka 30 na mahakama kuu.
Jaji :- Mashaka
Wakili wa Serikali 1 .Edgar Luoga.
2. Devise Msanga.
Nani alaumiwe?
shangazi aliyepotea hewani. Mapinduzi[mbakaji]? Binti[Tunda]? Mawakili wa Serikali waliokosea vifungu vya sheria? Mungu aliyeshindwa kumfanya jama adindishe? Serikali inayosajili mawakili chini ya viwango?
nani alaumiwe?Kimya kimya hivyo Ata kelele Haipo
Ni kama ume-mislead na maelezo yako kwa sababu hukumu inaonyesha kwamba ukilaza wa waendesha mashtaka na uchukuwaji wa ushahidi ndiyo umesababisha jamaa aachiwe na siyo hicho kifungu per se.Binti (Miaka 19) yupo kwa Basi, anatoka zake Dar kwenda Uyulo-Mbeya kumsalimu Shangazi yake, anawasiliana nae kwa Simu akiwa safari, lakini anafika Iringa Simu inakata Chaji.
Binti anamuomba Simu Jamaa aliyekaa pembeni yake aitwaye MAPINDUZI NGALLA, lakini anapiga Simu Shangazi hapatikani. Jamaa anamchombeza Binti kwani unaenda wapi?
Binti anajibu Uyole-Mbeya,
Jamaa anamwambia mmh! pale Uyole usiku kuna wauaji, twende ukalale kwangu Mbalali kisha kesho utamalizia safari yako, Binti anamuuliza kwako unakaa na Familia?
Jamaa anajibu ndio.Basi Jamaa anamchukua Binti anaenda nae kwake kijiji cha URUNDA- Mbarali, , kumbe Jamaa anakaa peke yake, wanalala chumba tofauti, lakini usiku Jamaa anaenda chumbani kwa Binti, anadai penzi, Binti anakataa lakini Jamaa ana force kingi - anambaka Binti, kesho inafika Jamaa anamfungia Binti ndani, usiku anambaka tena, kesho yake Jamaa anasahau kufunga mlango Binti anafanikiwa kutoka ndani, baadae Jamaa anakamatwa kwa ubakaji. Jamaa ameshinda kesi. Unajua kwanini? Kifungu -130(1)(2)(b)- ambacho alishtakiwa nacho kinaelezea ubakaji ambao Mwanamke anakubali kufanya mapenzi lakini kukubali kwake kunatokana na kutishiwa kuuliwa, kuumizwa... lakini hii kesi ushahidi wa Binti ulikuwa kwamba alilazimishwa kufanya mapenzi bila ridhaa (consent) yake, hii kitu inaangukia kifungu kingine tofauti -130(1)(2)(a) cha Kanuni ya Adhabu.
Mahakama ya Rufaa chini ya Jaji MASHAKA imemuachia jamaa aliyekuwa amefungwa miaka 30 na mahakama kuu.
Jaji :- Mashaka
Wakili wa Serikali 1 .Edgar Luoga.
2. Devise Msanga.
Nani alaumiwe?
shangazi aliyepotea hewani. Mapinduzi[mbakaji]? Binti[Tunda]? Mawakili wa Serikali waliokosea vifungu vya sheria? Mungu aliyeshindwa kumfanya jama adindishe? Serikali inayosajili mawakili chini ya viwango?
Kabisa kabisa!! Hivi mtu unakubali kwenda mbali huko mbalizi unapapita uyole kisa kuogopa wezi? Kalaghaiwa kijinga mno!! Ugali ni mbaya sanaAu ndo athari za kula ugali?
Nmeelewa Mkuu, point yangu ni kwamba ata kama alifungua kesi kwa ishu ya kuingiliwa bila ridhaa si bado ina mantiki maana alilazimishwa? Au kama mtu alivosema hapo juu ana uwezo wa kurudia tena kufungua kwa usahihi si ndio?Man Rody soma sababu ya kuachiwa ni kukosea kwa vifungu vya sheria.
Hujaelewa?
Unataka mahakama ya Juu kabisa imfunge mtu aliyeshitakiwa kwa kosa tofauti?
U
Kabisa Watanzania Reasoning Capacity wengi ni Empty set!!! Juzi nimemkuta mmoja katapeliwa laki 8 toka kwenye Simu Yake๐๐๐๐ Kapigiwa simu eti Kashinda Bahati nasibu๐๐. Kafika Police anaulizwa hiyo bahati nasibu ulicheza wapi na lini ? .Anasema ajawai cheza ata Siku moja๐๐Umeshindaje sasa??? Wao walinipigia Simu๐๐๐Alaumiwe binti kwa upumbavu wake... unakubalije kwenda kulala kwa usiyemjua? Watanzania tuna reasoning capacity ya chini sana sana hata tumbili anatuzidi!!
Evidence hiyo imekuwa Corraborated na kitu gani?corraborated evidence,
life is unfair.
Pakoje kwani Uyole?Umesema uyole?
Ugali... ugali mkuu. Hii nchi CCM itatawala milele maana tuna wafu wanaotembea wengi sana!Kabisa Watanzania Reasoning Capacity wengi ni Empty set!!! Juzi nimemkuta mmoja katapeliwa laki 8 toka kwenye Simu Yake๐๐๐๐ Kapigiwa simu eti Kashinda Bahati nasibu๐๐. Kafika Police anaulizwa hiyo bahati nasibu ulicheza wapi na lini ? .Anasema ajawai cheza ata Siku moja๐๐Umeshindaje sasa??? Wao walinipigia Simu๐๐๐
Unajielekeza vibaya, so long as you are not a lawyer, yaani ni LAYMAN kaa kwa kutulia .Ni kama ume-mislead na maelezo yako kwa sababu hukumu inaonyesha kwamba ukilaza wa waendesha mashtaka na uchukuwaji wa ushahidi ndiyo umesababisha jamaa aachiwe na siyo hicho kifungu per se.