Binti atoa penzi siku 3 bila ridhaa yake, na kesi kashindwa

Yes, huwezi tena kurudia
Sidhani kama wewe ni lawyer. Na kama wewe ni lawyer basi sina la zaidi.
Mimi sipo Bench ,am not in a Bar.
 
Stendi kuna sehemu ya kulala abiria.
 
Upo pasi na kuacha shaka, Mawakili wa Serikali wamekosea vifungu kama kawaida yao.
Ushahidi wenyewe ni upi?.Hakuna kubakwa kwa hivyo.Mambo mengine tukiyaendekeza yatakuja kutufanya ata wake zetu majumbani watushtaki tumewabaka.Wanaume tumekua dhaifu sana na wanawake wameshajua namna yakunufaika kupitia madhaifu yetu.
 
ushahidi uwepo alafu vifungu vikosewe kwenye kesi yenye wanasheria.Ukiona hivyo itakua toka maelezo ya awali ya hiyo kesi yalikua na walakini.
 
Upo pasi na kuacha shaka, Mawakili wa Serikali wamekosea vifungu kama kawaida yao.
Kuna changamoto kubwa kuliko kosa la mawakili. Binti kasafiri toka 22/5, rape imetokea 24/5 usiku. Alikua anafanya Nini kwenye nyumba toka 22 usiku mpaka 25? Hajasema alitekwa Kwa namna yeyote. Hamuoni shida hapo?
 
Katoka mjini kaenda kubakwa kijijini, enewei wa kulaumiwa ni Mungu kashindwa kufanya jamaa asidindishe
😄😄😄😄😃Leo nacheka sana kwa comment alizozielekeza mtoa hoja ili wadau wachague.
 
Kwamba kukuta mbegu ndo kithibitisho kikubwa cha mwanamke kubakwa? Vipi nikielewana na binti baada ya muda akaenda mahakamani baada ya kuhitilafiana,napo ni ubakaji kisa wamekuta mbegu?
Mi naangalia sababu kuu ya kumuachia mbakaji, experts opinion unaipuuzaje kisa tu kuna mapungufu kwenye charge sheet!?
 
ushahidi uwepo alafu vifungu vikosewe kwenye kesi yenye wanasheria.Ukiona hivyo itakua toka maelezo ya awali ya hiyo kesi yalikua na walakini.

Ndio kitu cha kujiuliza imekuwaje wame cite wrong provision.
 
Man Rody soma sababu ya kuachiwa ni kukosea kwa vifungu vya sheria.
Hujaelewa?
Unataka mahakama ya Juu kabisa imfunge mtu aliyeshitakiwa kwa kosa tofauti?

U
Sasa Victim yeye anahusikaje na hivyo vifungu vya sheria!? Yeye ndiyo anaanda hayo mashitaka kupeleka huko Mahakamani!? Inamaana haki ya binti imepotea kisa tu kuna mtaalamu kakosea kazi yake!? Je huyo mtaalamu aliyekosea kazi yake ya kuaanda hayo mashitaka yeye anachukuliwa hatua gani!? Labda hiyo ndiyo chocho iliachwa wazi kwa makusudi kabisa ili mbakaji aje atoke kwenye Mahakama ya rufaa,pia hilo linawezekana!!
 
Kwa kifupi sasa, hapa nani alaumiwe?
 
Kuna changamoto kubwa kuliko kosa la mawakili. Binti kasafiri toka 22/5, rape imetokea 24/5 usiku. Alikua anafanya Nini kwenye nyumba toka 22 usiku mpaka 25? Hajasema alitekwa Kwa namna yeyote. Hamuoni shida hapo?
Kjijini, nyumba zipo mbali mbali, jamaa kamfungia chumba cha wageni , ana,la alafu naenda kupiga vumbi la kongo anarudi anamla tena.
 
Binti akiwa kakosa msaada safarini aombe msaada kwa Konda wa basi au Dereva wa Basi. Kama keshashuka Basi aombe msaada kwa Mwanamke mwenziye kwanza.
Ili ampeleke Kituo cha Polisi au Serikali ya Mtaa au Kituo cha msaada kama Kanisani, Msikitini
 
Woke Mind Virus... Hii kesi Mahakamani ya Rufaa imefanya Maamuzi sahihi Sana huyu Binti ni Mtu mzima kwa kujibu wa Sheria zetu.
1. Simu ilisha chaji? Alifika stendi hakuona umuhimu WA kuomba msaada WA kuchaji simu?
2. Wazazi tuwafundishe Mabinti zetu kuwa hakuna cha bure Duniani.
3. Binti kama Mtu mzima lazima ajue hatari za kwenda kulala kwa Mtu stranger kwake
4. Itasaidia kupunguza false rape allegations dhidi ya wanaume.
 
Kjijini, nyumba zipo mbali mbali, jamaa kamfungia chumba cha wageni , ana,la alafu naenda kupiga vumbi la kongo anarudi anamla tena.
Kwamba hakubakwa toka 22/5 ameenda kubakwa 24? Mwanaume rijali yupo na kigoli ndani siku mbili anamtazama tu? Kuna walakini hapo bro. Halafu siijui mbeya ila siamini kama ipo tofauti na Kilimanjaro. Eneo ni dogo hivyo nyumba zimesongamana. Kwa Nini hakupiga kelele? Kwa Nini hakupigana? Angekutwa hata na alama za kubamizwa wakati wa kubakwa. K kuwa na michubuko ni kawaida kama watu wamejifungia ndani wakitombana siku mbili mfululizo. Hapo Binti alikosea Cha kujitetea Kwa kutokufika Kwa shangazi. Or else alificha vingine.
 
Nyumba za vijijini zipo mbali mbali.
Jamaa alikwenda chumbani kwake usiku saa saba akaanza kuomba mchezo, kunyimwa akamvua chupi maana dada alikuwa maevaa kanga moja pekee.
Jamaa kiona tunda akapenya.
CHumba hakikua na komeo au kitasa kusema ajifungie?
 
Kama alimkosa shangaz yake, kwann asimpigie mtu mwingine wa karibubkama baba au mama au sister au brother ili amsaidie namna ya kumpata shangazi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…