Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nijiridhishe bas kuwa nasomesha mwanangu.Lete ada akasome
Mtambulishe vzr bas hata inbox kwangu pamoja na historia yake if possible na ka picha nimwone pls!Lete ada akasome
Sasaivi C ni 60-69 sio enzi hizo 60 ni B+Kumbe unaweza soma udaktari ukiwana makarai kwenye physics chemistry na bioligia[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Mweee mweee mweee, huku sii kufelishana tuu jamaniSasaivi C ni 60-69 sio enzi hizo 60 ni B+
Mikopo bado haijatolewa awahi kupata chuo.Sijasema uongo, nimepewa maelezo nakaona sielewi heri nije kwenu kwa ushauri
Hata vyuo binafsi hawezi kupata udaktari kwa Division one (point 9) kwa mwaka huu.Nahisi umechanganya mambo. Kama ameomba chuo mwaka huu nafikiri ulitaka kusema amekosa udahili kwa vyuo vya serikali maana mkopo bado hawajatoa majina ya waliopata na kukosa. Kwa ufaulu huo kupata kozi za udaktari kwa vyuo vya serikali sahau, labda vyuo binafsi ambapo hatoweza kumudu ada maana ni ghali.
Kama una lengo la kumsaidia kweli na hautaki abadili kozi basi mtafutie ufadhili mahali pengine pa kujazia patakapopungua.
Huko kote hakuna mwanafunzi mwenye division one (point 9) aliyefanikiwa kupata kozi ya udaktari mwaka huu mpaka sasa.Mkopo bado hawaja toa.. Akiomba kcmc, cuhas anapata bila ubishi
Unamaanisha kakosa mkopo upi?
Huko kote hakuna mwanafunzi mwenye division one (point 9) aliyefanikiwa kupata kozi ya udaktari mwaka huu mpaka sasa.
Labda uongelee mwaka huu. Ila mwaka jana dogo alipata.Hata vyuo binafsi hawezi kupata udaktari kwa Division one (point 9) kwa mwaka huu.
Halafu hii dhana ya vyuo binafsi na umma huwa nyinyi mnaipata wapi katika zama hizi za sasa?
Hivi mnaelewa jinsi udahili ulivyo tight kwenye kozi za afya zama hizi?
Yaani unaweza ukawa na division one na bado usipate chuo chochote kwa kozi yoyote ya afya mwaka huu.
Mdogo wangu ana hilo tatzo na yuko jeshin..cjui nimu applaie koz ganHuko kote hakuna mwanafunzi mwenye division one (point 9) aliyefanikiwa kupata kozi ya udaktari mwaka huu mpaka sasa.
Kuna waliopata private?Acha uongo vyuo binafsi anapata vizuri labda government
Wewe unaongea tu, mimi nina ndugu, rafiki watatu ambao mwaka jana watoto wao walikosa kozi ya udaktari baada ya kuomba karibu vyuo vyote hapa Tanzania (wawili walikuwa na Division one point 9 na mmoja ni Division one point 8), wakajipanga kwenda Ukrane kusoma kwenye intake ya March/April mwaka huu (ujio wa vita ukaharibu mipango yao) wakaamua kusubiria mwaka huu waombe upya tena vyuo vya Tanzania, na wameomba vyuo vyote vya Udaktari, round ya kwanza imetoka na wamekosa kote.Acha uongo vyuo binafsi anapata vizuri labda government
Mmmh!Labda uongelee mwaka huu. Ila mwaka jana dogo alipata.