Binti kani-approach tufanye biashara ya pamoja (business partnership), je nimkubalie?

Haya ndo maswali anayotakiwa kujiuliza kabla hajafanya hayo maamuzi.

Watafungua biashara kimya kimya, wataishia kukulana na mwisho wa siku ataibiwa mtaji wote aliowekeza arudi kwa mke wake analialia.
Uzuri mnajijua jinsi mlivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…