Binti kani-approach tufanye biashara ya pamoja (business partnership), je nimkubalie?

Binti kani-approach tufanye biashara ya pamoja (business partnership), je nimkubalie?

Mkakati wa biashara umekaaje ? 1Mnachangia mtaji nusu kwa nusu au wewe ndo unatoa mtaji ? kama mnachanga piga nae kazi , kama ni wewe tu piga chini.

2. Wazo la biashara ni lake au lako ?
Kama ni lake piga chini , kama ni la kwako anataka kuunga juhudi za chama fresh.

3 Kama idea ya biashara ni yako je una uzoefu na hiyo biashara ? Kama ndo wazo na ndo mara ya kwanza piga chini hiyo patnership.

4.Ana uelewa wowote au aliwahi kufanya biashara na ni kitu anachopenda ! Kama hana uzoefu piga mtagombana !

5.Kama una matamanio nae au uliwahi mtamani na mna mazoea yanayovuka mipaka , Piga chini biashara itakua ya dharau itakufa.
 
Back
Top Bottom