Binti mrembo pisi kali, kwao maisha mazuri lakini ni kondakta wa Basi

Unaweza kuta huyo mwenye mabasi ni mjomba sasa hapo ni kama anafanya kazi nyumbani tu..
 

Wanaomjua wameshasema kwamba hayo Ma bus ni ya ndugu yake.

Hata ungekuwa wewe biashara ya kwenu aibu ya nini ?

Maskini ndio tuna aibu. Hatutaki kuonekana tuna njaa.
 
Kuna siku wanalaza. Kuna siku wanakosa.

Hawa hela wanapata kama bus likiondoka dar siti hazijajaa.. abiria wa njiani vituo vifupi fupi ndio wanawapa hela zao binafsi. Tajiri hajui
Siku moja nilipanda basi moja kutoka Mwanza nilikaa siti ya Staff.

Tulipofika Chalinze dereva na konda wake wakaanza kupiga hesabu ya maokoto yao walitengeneza 200k njiani konda kuchukua 70k dereva 80k zingine wakazigawa gawa kwa mawinga wao wa njiani.

Ndiyo nikajua kumbe hawa mabwana wana maokoto mengi tu kwenye kazi yao.
 
99% ya makonda wa kike mabasi ya mikoani ni wadangaji wa kimataifa na 99.9% wanafumuliwa na wenye magari ama madreva wao.

Hata ukiwa abiria wao wa mara kwa mara na mkazoeana basi anakususia mzigo wote uhangaike nao mwenyewe

Jichanganye uone ya kuona.
 
Jf mtu akiona demu mzuri kwenye macho yake basi anajumuisha huyo ni mzuri kwa wote[emoji23][emoji23]..yaan huyo demu ni wa kawaida sana kwangu tena hana vigezo vya kuwa na mm,demu gan hana tako[emoji35]
Sijaona palipoandikwa ni pisi kali kwa wote, sijaona mleta mada aliposema huyo dada anavigezo/anatakiwa kuwa na wewe.

Keyboard isiwafanye kuwa overconfident hivyo wandugu!
 
Sijaona palipoandikwa ni pisi kali kwa wote, sijaona mleta mada aliposema huyo dada anavigezo/anatakiwa kuwa na wewe.

Keyboard isiwafanye kuwa overconfident hivyo wandugu!
Nimeongea ukweli mtupu mkuu,mm kipenzi wa nyama za nyuma so ukiwa huna sishughuliki na wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…