covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 6,967
- 17,452
Unaweza kuta huyo mwenye mabasi ni mjomba sasa hapo ni kama anafanya kazi nyumbani tu..habari ya jumamosi.
ukweli mabinti wa kichaga wana tofauti kubwa na makabila mengi. sio wavivu na hawachagui kazi.
mfano hai ni huyu dada kondakta wa bus. shule amesomeshwa tena shule nzuri, kwao maisha mazuri, vijana wanasema mboga saba ila kazi yake huyu dada ni kondakta wa bus.
nawaza tu kwa uzuri huu na maisha mazuri kwao , wangekuwa nao hawa dada zetu wazaramo, je wangekubali kazi ya ukonda ?
View attachment 2892759
View attachment 2892763
View attachment 2892765
View attachment 2892770
View attachment 2892766
View attachment 2892775