Binti msomi analalamika kusumbuliwa na Wanaume kisa ni pisi kali

Sijasoma makala yote ila Mashallah!

Wanaume wengi hapa tunasukumwa na wivu tu, ni wivu.

Kama sikosei ameongelea changamoto anazokabiliana nazo ndio akataja hiyo ya kusumbuliwa na wanaume Kwa uzuri wake.

Wanaume hawahawa wanaofukuzia hadi wadada wa kazi nyumbani na kwenda hadi na wauzaji wengine kubaka vichaa au kuingilia wanyama?
 
Ndio ni mzuri ila sio kiasi hicho mpaka iwe tangazo la BBC.

Halafu kwanza wanawake weupe sio watamu huwa wanakua wabaridi kama mijusi.

Upate mtoto mweusi ndio utafurahia mwenyewe kwanza anakua na joto lile lenyewe natural.
Aya ya pili ni 100%
Mimi huwa ninawashangaa sana watu wa jinsia ya yetu sisi wanaume wanageuka kuwa Wasukuma wote kuabudu rangi za namna hiyo.
Ni wa baridiiiiii hadi huwa ninaenda mbali kifikira kuwa huenda wana upungufu wa damu ama wana undugu na selimundu. Huwa ninawaza tu hivyo.
 
Mh? Mwanamke mweupe wa baridi?
 
Kwa neno moja hii ni 'promo.'!
 
Alooo
 

Bora yako umekua mkweli. Wanajidai kuponda hapa ila ukweli wanaujua, mara nywele feki mara kajichubua kumbe wivu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…