Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,697
- 15,497
Vipi hizo nywele?!Kwanza huyu sio mrembo zaidi ya kujichubua kwa ushahidi ufuatao:
1. Nyusi ni feki za bandia
2. Eye lash feki
3. Lipstick feki
4. Makeups feki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi hizo nywele?!Kwanza huyu sio mrembo zaidi ya kujichubua kwa ushahidi ufuatao:
1. Nyusi ni feki za bandia
2. Eye lash feki
3. Lipstick feki
4. Makeups feki
hakuna urembo hapo zaidi ya rangi za kupakwa na weupe wa mikorogo..
Ambae sio wa kawaida sana yukoje Jemedari? Tuwekee hapa ukumbini masenetor tutoe maoni yetu.Huyu demu kwa tunaomjua ni wa kawaida mnoo
Nywele feki...Kwanza huyu sio mrembo zaidi ya kujichubua kwa ushahidi ufuatao:
1. Nyusi ni feki za bandia
2. Eye lash feki
3. Lipstick feki
4. Makeups feki
Basi ngoja nimtafute nimualike kwenye threesome yetu....utafaidi miguu yake
Aya ya pili ni 100%Ndio ni mzuri ila sio kiasi hicho mpaka iwe tangazo la BBC.
Halafu kwanza wanawake weupe sio watamu huwa wanakua wabaridi kama mijusi.
Upate mtoto mweusi ndio utafurahia mwenyewe kwanza anakua na joto lile lenyewe natural.
Tunaangalia chura!Hivi kumbe wanaume nao wana wivu🤣🤣
Diana mzuri bwana
Mh? Mwanamke mweupe wa baridi?Aya ya pili ni 100%
Mimi huwa ninawashangaa sana watu wa jinsia ya yetu sisi wanaume wanageuka kuwa Wasukuma wote kuabudu rangi za namna hiyo.
Ni wa baridiiiiii hadi huwa ninaenda mbali kifikira kuwa huenda wana upungufu wa damu ama wana undugu na selimundu. Huwa ninawaza tu hivyo.
Yani mzabzab wewe......daaah🤣🤣🤣Basi ngoja nimtafute nimualike kwenye threesome yetu....utafaidi miguu yake
Kwa neno moja hii ni 'promo.'!Haya wazee wa kuthaminisha, nawasogezea Mali mpyaa yaani piruu,mshindwe wenyewe
View attachment 3019762
"Unajua mimi nina macho makubwa, mara nyingi nikiweka kazi zangu watu wanaanza kuuliza kuhusu muonekano wangu, urembo wangu badala ya kazi na staki kudanganya hilo jambo huwa linanikera sana’ anasema Diana Chando, balozi wa vijana Umoja wa Afrika(AU).
Diana Chando (27) ni mwanasheria na mbobezi wa sera anayependa kugusa maisha ya vijana wenzake. Anasema lengo lake kubwa ni kufanya kazi na kuacha alama kubwa katika maisha yake kwa kubadilisha maisha ya watu.
Diana anasema wakati anasoma chuo kikuu kuna siku alipata fursa ya kuwasilisha mada kwa kuwa mhusika hakuwepo na mgeni rasmi alikuwa balozi kutoka Geneva, Uswisi.
Baada ya uwakilishi mzuri, alipewa fursa ya kwenda kwenye mafunzo ya amani, na ndipo safari yake ya kuwa mhamasishaji wa amani ilipoanza.
Ni binti aliyepata malezi kutoka kwa mama pekee, kwa kuwa baba yake alifariki dunia akiwa mdogo sana.
Diana anajivunia hatua aliyoifikia ya kuwa balozi wa vijana wa Afrika huku akiwa amejiwekea misingi thabiti ya kusimamia malengo yake au ndoto zake kubwa.
“Mama yangu ni mchapa kazi sana, mama amekuwa nguzo kwangu kwa kuwa nimeona kujitoa kwake, uaminifu wake, umahiri wake katika kazi na hata elimu aliyonipatia ni zawadi tosha kwangu.
![]()
Adabu na uvumilivu ni silaha ya uongozi
Mabinti tuna fursa nyingi sana, ukiwa binti mdogo mwenye malengo makubwa haswa kwenye jarida la uongozi lazima kuwa na kitu kinaitwa ‘adabu’.
Kama huna adabu huwezi kufika popote, kwa sababu kama huna adabu huwezi kujua namna nzuri ya kuongea na watu, hutaacha jina zuri kama huna adabu na hutaacha muonekano mzuri kwa watu kama huna adabu , ni utakuwa tu mwanamke mrembo lakini hamna kitu, adabu ni muhimu sana.”
Diana anasisitiza hilo kwa kuwakumbusha vijana kuwa ule msemo unaosemwa kuwa ‘si kila kikombe cha fursa kinachokuja mbele yako ni cha kwako, ni muhimu kujua kipi cha kwako na kipi sio cha kwako vinginevyo utakula sumu.
Adabu ni msimamo wangu wa kwanza katika kujua fursa yangu iko wapi.
Jambo lingine muhimu ni uvumilivu, sipendi kusikilizwa kwa sababu mimi ni binti. Kuwa mwanamke hakunifanyi mimi nifike sehemu bali naamini kuwa utendaji kazi wangu, akili na kujitoa ndiyo kunanifanya nifike sehemu. Sipendi nipewe kitu kwasababu ni mwanamke, bali napenda kupata kitu kwa kuwa nina weledi wa kukifanyia kazi.
Kuna wanawake wengi wanapewa nafasi katika uongozi lakini hawafanyi chochote, ni wakati sasa kutoangalia kwa sababu wewe ni mwanamke.
![]()
CHANZO CHA PICHA, DIANA
Umuhimu wa kujitolea
Mtanzania huyu anayewakilisha vijana wa Afrika Mashariki katika umoja wa Afrika AU amedhamiria kuwa kiongozi atakayeacha alama katika jamii. Anasema si kwa sababu yeye ni mwanamke mwenye uthubutu tu bali kwasababu anajiamini na anaweza kutoa mchango wenye tija katika ulingo wa uongozi. Ni vyema kwa vijana kutoangalia elimu peke yake, ni vyema kupata ujuzi.
‘Niliandika kuomba kazi ya ubalozi Umoja wa Afrika nikiwa najua fika sina kigezo cha shahada ya uzamili, lakini nilisema kwa sababu ukiomba kazi kuna kupata na kukosa, niliandika tu kujaribu na kujiamini kuwa naweza.’
Aidha nafasi hiyo ya ubalozi wa vijana imempa fursa ya kuweza kuongea mbele ya viongozi wakubwa jambo ambalo anajivunia na kuona kuwa vijana wakiaminiwa wanaweza.
‘Ninaamini nikiwa nafanya kazi vizuri, vijana wenzangu pia watapewa fursa hivyo mimi ni ninajiona kuwa ushuhuda na njia kwa wengine.
Kujitolea ni jambo muhimu sana, wakati ninasoma nilikuwa ninajitolea kwenye asasi kama Yuna, tunapanda miti na vitu vingi bila malipo lakini kwenye wasifu wangu ninaandika kila kitu na imenijenga.
Kuna Watoto wengi wanasoma hata nje ya nchi lakini wanasoma tu darasani na kurudi nyumbani yani hawajiongezi. Kiukweli, Kujiongeza kumechangia mafanikio yangu
My Take: Unaambiwa huko Zimbabwe alikoenda Kusimamia Uchaguzi Ali trend Hadi Rais akauliza ni nani huyo.
AloooHaya wazee wa kuthaminisha, nawasogezea Mali mpyaa yaani piruu,mshindwe wenyewe

Sijasoma makala yote ila Mashallah!
Wanaume wengi hapa tunasukumwa na wivu tu, ni wivu.
Kama sikosei ameongelea changamoto anazokabiliana nazo ndio akataja hiyo ya kusumbuliwa na wanaume Kwa uzuri wake.
Wanaume hawahawa wanaofukuzia hadi wadada wa kazi nyumbani na kwenda hadi na wauzaji wengine kubaka vichaa au kuingilia wanyama?