EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Aisee hamna comment iliyonikera nimeku-challenge tu nashangaa ume-panicbundle lako, simu yako na maoni ni yako kama ilivyo kwangu vile vile. Ukihisi comment yangu imekukera sana kuna button ya ignore, ibonyeze tu.
Kinyume na hapo nitahisi kuna la ziada unahitaji ambalo ni shari.
Siyo mweupe.Mh? Mwanamke mweupe wa baridi?
Hapana! Why?We ni msukuma lazima π€£π€£π€£π·
Unapenda weupe wa kitimoto π·π·π·Hapana! Why?
Hii Uganda hii π₯π₯π₯Hakuna kitu hapo,,hamjetembea nyie ...oneni vitu,, Zungukeni duniani muone zigo classics za kuvunja chaga.View attachment 3019804
What a waste of hard earned moneyHaka 200k unapiga fresh
Utakuwa uligonga vibibi vya kizunguMkuu hii ni kweli sijui kwa nini weupe sio watamu kabisa kyuma ya baridi
Si umesikia kule mbele wanasema weupe wa baridi km mijusi π kama vile wale wa moto hawachitiwiDunia ilivyo na maajabu Sasa, jamaa yake ana mchepuko kama sio michepuko.
Kapeace njoo utie neno hapa. DJ akupandishe na wimbo wa Lucky Dube ( Cool Down)
Si umesikia kule mbele wanasema weupe wa baridi km mijusi π kama vile wale wa moto hawachitiwi
200k hela ya lunch mkuu πWhat a waste of hard earned money
Wewe ni maskini,yaani Laki 2 ndio ishu sana kwako? Kwanza huyo demu sio wa Laki 2 labda Laki 5 kuendeleaWhat a waste of hard earned money
Kama hii kwao mbovu basi wanawake zao kama malaika wenzetu, itabidi muanze kujiombeaProper definition of Dog mkia mbele. Usiache kutuombea tafadhali.