EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Aisee hamna comment iliyonikera nimeku-challenge tu nashangaa ume-panicbundle lako, simu yako na maoni ni yako kama ilivyo kwangu vile vile. Ukihisi comment yangu imekukera sana kuna button ya ignore, ibonyeze tu.
Kinyume na hapo nitahisi kuna la ziada unahitaji ambalo ni shari.