Binti mvaa Ninja amtuhumu John Heche kumtelekeza

Binti mvaa Ninja amtuhumu John Heche kumtelekeza

Utakuta huyo ni Samia mwenyewe kaamua kuact utoto namna hiyo.
 
Hata Makonda alimtengenezea Lowasa watoto bandia... Huu upuuzi wa ccm hautaisha.
..sio ccm, ccm haipo, ni wanaojiita usalama wa taifa..ndio tnawalipa kwa kufanya haya maigizo..
 
Hata Makonda alimtengenezea Lowasa watoto bandia... Huu upuuzi wa ccm hautaisha.
Binti mwenyewe aliyeokotwa Mbagala baba yake Lowassa alikuwa anamuita Ruwasa, halafu na yeye alikuwa anavaa ushungi.
 
Atoe kwanza hiyo niqab kama kweli anataka haki maana hata akienda kwenye office za umma kudai haki
MF: police au mahakamani lazima atalazimika kuitoa au kuipandisha juu

Au ndio kama yale ya Lissu Shahidi wa kuficho kukaa kwenye kibanda 😅😅

Ajifunue tumuone tupaze sauti wanawake wenzie
Tupo hapa 💪👌
Hivi mkuu kile kibanda kilivunjwa?
Au bado kipo.
 
Kazi yenu ni kutukana na kuchoma Mali za raia na Mali za umeme, jeshi la polisi likiwakabili mnaaza kulia
Yap. Kama ilivyo kazi ya bi Eda kuiba na kuuza mali za watanganyika kwa ndugu zake wa Oman. Watanzania wakiandamana kutaka nchi yao anaanza kulia na kusingizia udini.
 
Ila kama unaweza jitoa ufahamu awamu hii utapiga hela sana
Mi nataka kubiga fedha. Hivi karibuni nitatoa tamko kuhusu CHADEMA nikimtarget Heche na John Mnyika. Aisee nyie jua tu ni uongo mi nataka nipige fedha tu za haya majinga.
 
aliyekuja na hili wazo la hii video inawezekana:
  • ana uwezo mdogo wa kufikiri au
  • anajua walengwa wengi wana uwezo mdogo wa kufikiri...
 
Mi nataka kubiga fedha. Hivi karibuni nitatoa tamko kuhusu CHADEMA nikimtarget Heche na John Mnyika. Aisee nyie jua tu ni uongo mi nataka nipige fedha tu za haya majinga.
Ni wewe tuu dirisha liko wazi hata humu wapo hawalali asubuhi asubuhi CHADEMA, ila ndio kipindi chao system inawaruhusu nao wana familia zinawategemea .Hivyo usichezee fursa kijana japo mm siwezi
 
Yap. Kama ilivyo kazi ya bi Eda kuiba na kuuza mali za watanganyika kwa ndugu zake wa Oman. Watanzania wakiandamana kutaka nchi yao anaanza kulia na kusingizia udini.
Uwezo wa kuandamana mnao? Halafu kushabikia upumbavu mumuachie nani? Ccm tushajua mna ubongo wa mende sisi tutaendelea kuongoza Hadi tuchoke
 
Yaani limekaa kimya siku zooote hizo leo ndio limejua kama limetelekezwa?. Alikuwa wapi siku zote?, kwanini akimbilie kwenye media badala ya kwenda kwa Heche mwenyewe?

Kwanini anaficha sura kama anaongea ukweli?.
 
Hivi makuma Hawa watamuweza heche kwa cheap propaganda kama hizi?
Walimtupiaga kama hii gwajima , akawajibu yeye ni rijali, na kama Kuna mtu mkewe nae anahitaji urijali wake wampeleke kwake, hawajawahi ku heal na kupotea wakapotea
 
Back
Top Bottom