John Heche ajitokeze hadharani kuthibitisha au kukanusha kama amewahi date na huyu Binti wa msimamo mkali wa dini.
Sijui mkuuHivi mkuu kile kibanda kilivunjwa?
Au bado kipo.
Yeye mwenyewe alimanua na hakubakwa halafu anasema kazunguka nae sehemu nyingi Ina maana alikuwa analipwa ,analishwa na kuhudumiwa vizuri ndio maana akawa nae kila sehemu, kwa hiyo kama walikosana sisi hapa hatusuluhishi mahusiano ,kama amekuacha mtafute kimya kimya kama ambavyo mlizunguka ,nchi nzima kimya kimya hata kwa hili piga kimya kimya ! Umeshamchuna imetosha acha wengine nao wapate japo kidogoMbona mbinu za kizamani sana hizi?
Tengenezeni script nyingine.John Heche ajitokeze hadharani kuthibitisha au kukanusha kama amewahi date na huyu Binti wa msimamo mkali wa dini.
Kwa hiyo mnataka Heche awe anakuwa na kazi ya kujitokeza na kujibu maigizo yenu kila siku. Yaani kila mkiibuka na maigizo mapya mnasema Heche ajitokeze? Hizi nguvu mnazoziwekeza kwenye maigizo ya kushindana na mtu mmoja kila siku mngezielekeza:John Heche ajitokeze hadharani kuthibitisha au kukanusha kama amewahi date na huyu Binti wa msimamo mkali wa dini.
Kama mzazi ungelikuwa mwanangu ningelikufukuza nyumbani, kidato cha tatu muda wa kuchagua masomo ya maisha yako ya baadae na fursa nyingi wanazopewa watoto wa kike na serikali wewe unafanya umalaya hata bila Aibu unasema umesafiri nae sehemu mbalimbali, Vipindi vya darasani ulikuwa unahudhuria muda gani, kama ni kweli nikueleze tu kuwa umeikosea sana familia na ndugu zako, na kama unatumiwa kwa ajili ya kuwachafua watu Bado hujafanikiwa kwa nchi yetu, wapo walioibiwa bunduki guest na mpaka Leo ni viongozi, wapo waliotongozwa mpaka Leo ni viongozi, wapo waliowakana watoto wao mpaka Leo ni viongozi Acha UPUMBAVU na uliheshimu Hilo vazi ulilolitumia kuueleezea huo UPUMBAVU wako.John Heche ajitokeze hadharani kuthibitisha au kukanusha kama amewahi date na huyu Binti wa msimamo mkali wa dini.
Pumbafu zakeJohn Heche ajitokeze hadharani kuthibitisha au kukanusha kama amewahi date na huyu Binti wa msimamo mkali wa dini.
Kenge wa kijani ni 🗑 🚮John Heche ajitokeze hadharani kuthibitisha au kukanusha kama amewahi date na huyu Binti wa msimamo mkali wa dini.
Amepima dna ya mtoto?John Heche ajitokeze hadharani kuthibitisha au kukanusha kama amewahi date na huyu Binti wa msimamo mkali wa dini.