Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
nyumba kubwa njoo upate stress
hata kama alikula vya watu kama mnavyodai,embu kuweni great thinkers nawaowajua dairy jinsi mnavyopinga maovu katika jamii.sI vizuri kuzidi kumkandamiza marehemu kwa hasira zenu binafsi za kula vya watu ,kwanza mnahumiza hisia za ndugu,rafik,na jamaa ambao wamegubikwa na huzuni huku wakiwa hawajui hatima ya mwili wa mpendwa wao.
Naungana na wale wote waloguswa na unyama huu kuhakikisha walotenda unyama huu wanatiwa nguvuni.R.I.P ASHURA
Maiti imepatikania Dar ishapelekwa muhimbili kuhifadhiwa
Ahsante ehee anasemaje kuhusu tukio lilivyokua,mimi ni rafiki tu wa hawa ndugu wa marehemu
Ahsante ehee anasemaje kuhusu tukio lilivyokua,mimi ni rafiki tu wa hawa ndugu wa marehemu
Nimesoma mahalI kuwa alienda date mliman city...huyo mtu walijuana Facebook na ndo mara ya kwanza kwenda kumeet...jamani blind date sio nzurii mabinti....nna shoga yangu anapenda sana blind date ...anatamaa
Yap nami nasikia hivyo,,,umeisoma wapi nami nikasomee
Maskini watu wengine wanatafuta kafara za mizimu yao ya kishirikina so wanatumia hizi blinf date kupata vifaa. Ukute mganga aliwatuma mav..uzi ya demu sasa unadhani utayapataje? Au mtu ametumwa gspot unadhani bila blind date ataipata? Wanawake kuweni makini dunia imevaa bikini hii ohooo