Binti ninayemtongoza anataka nimuazime Tsh. 100,000/-

Hadi umekuja kutuuliza hapa ina maana akili yako inafanya kazi sawa sawa na imeshakwambia cha kufanya ila shida ni kwamba moyo wako unakushauri vinginevyo na ndipo hapo shida inaanza.

Ila nikuulize swali, kwani tokea umeanza kuvutiwa na pisi kali huyo ni binti wa ngapi unakutana nae na unamtokea.....?!

Kama ni wa kwanza then basi jaribu tu kutafakari mabinti wangapi utakuja waona siku za baadae huko mbeleni, na kama sio wa kwanza then why una pressure na huyu as if ni binti wa kwanza kumuona si upishane nae kama hao wengine unaopishana nao huko njiani na hamkusemeshana wala nini, pisi kali bado zipo endelea kumingle watoto wazuri wapo.

Hiyo laki yako, 50,000 mtumie bi mkubwa kwenye simu mwambie zawadi yako mamushka nakupenda sana , halafu hiyo 50,000 nyingine 25,000 weka kwenye sim kama akiba 25,000 mshtue yule mwanao wa shida na raha mkae pub mnunulie bia 4 na kuku nusu, muwekee na vocha halafu subiria baraka zako kutoka kwa MUNGU. Achana na wadangaji hao hawanaga faida wala manufaa zaidi ya kukuletea magonjwa na madeni na stress za maisha.

Live your life.... Someone is waiting for you somewhere.
 
Wanawake wa siku hizi wanna akili saana kuliko wa zamani

Zamani binti kama hakutaki alikuwa hataki hata kukutana na wewe
Hawa awamu hii wakakaa kikao wakajadili kwamba kumwambia mtu mzima mwenzio kwamba sikutaki siyo ustarabu

Wengi wao wakaona iwe fursa yaani ukiona mtu hujamwelewa lakini yeye kang'ang'ana wewe shusha nyavu zako vua kadri ya uwezo wako
Vijana wengi mmejikuta mko njia panda kwa kukosa maarifa

"MWANAMKE MWENYE NIA NZURI HAKUOMBI HELA"
Labda awe amebanwa kwelikweli

100000 kwa hapa uswahilini kwetu ni kodi ya miezi 5
Kumbe mwanamke kudanga ni akili?! Okay sawa sawa.
 
Wanaume wa siku hizi!mafreezer yenu hayagandishi kabisa..hukuwa na haja ya kuja kumtangaza hapa.kama unayo now Kama huna mwambie,ova
 
Hadi umekuja kutuuliza hapa ina maana akili yako inafanya kazi sawa sawa na imeshakwambia cha kufanya ila shida ni kwamba moyo wako unakushauri vinginevyo na ndipo hapo shida inaanza.

Ila nikuulize swali, kwani tokea umeanza kuvutiwa na pisi kali huyo ni binti wa ngapi unakutana nae na unamtokea.....?!

Kama ni wa kwanza then basi jaribu tu kutafakari mabinti wangapi utakuja waona siku za baadae huko mbeleni, na kama sio wa kwanza then why una pressure na huyu as if ni binti wa kwanza kumuona si upishane nae kama hao wengine unaopishana nao huko njiani na hamkusemeshana wala nini, pisi kali bado zipo endelea kumingle watoto wazuri wapo.

Hiyo laki yako, 50,000 mtumie bi mkubwa kwenye simu mwambie zawadi yako mamushka nakupenda sana , halafu hiyo 50,000 nyingine 25,000 weka kwenye sim kama akiba 25,000 mshtue yule mwanao wa shida na raha mkae pub mnunulie bia 4 na kuku nusu, muwekee na vocha halafu subiria baraka zako kutoka kwa MUNGU. Achana na wadangaji hao hawanaga faida wala manufaa zaidi ya kukuletea magonjwa na madeni na stress za maisha.

Live your life.... Someone is waiting for you somewhere.
Ushauri Muruaa kabisa
 
Wakuu habari za muda huu,

Nisiwachoshe na mambo mengi ngoja nije moja kwa moja kwenye mada. Wiki iliyopita katika harakati zangu za kutafuta nilikutana na binti mrembo kiasi.

Kama mjuavyo hulka ya mwanaume anapokutana na pisi lazima utesti mambo. Kwangu pia ilikua hivi toka siku nilipokutana na huyo mrembo niakaaza kumtongoza kwa sababu tayari nilishachukua namba yake licha ya yeye kuto toa jibu la kunikubalia.

Leo kanitumia meseji ya kuniomba shilingi 100,000 kwa masharti ya kumuazima na atarudisha baadae ya wiki 2 Mara baada ya kupokea mshahara kwa kuwa ni mfanyakazi.

Binafsi sijamjibu na sijajua mpaka sasa namjibu nini, nimeamua kuandika hapa ili kuomba ushauri kwamba pisi unayoitokea inapokuomba uiazime pesa itaweza kurejesha kweli? Lakini pia kama ikitokea nikamwazima hiyo pesa ataweka uzito wa kuirejesha kweli?
Na wewe muombe kumdinya!

Wanajijutaga wako smart sana..[emoji38]
 
Kuna mengi ndani ya mindset yake so ni ngumu kuamua hapa wengi wataongea sana mwisho wa siku fanya kimoja .
1. Mwombe uje kwake kwa mara ya pili.
2. Mwambie njoo kwangu nisalimie naumuonyeshe unampenda kwa kumpa mapenzi mazuri na kumtreat kama mwanadada na heshima zake.
Siulimpenda .
3.anadai atarudisha baada ya wiki mbili andikishianeni.
Kama hataki basi hana nia alikuwa anataka hela tu.

Ila kiukweli kuna watu wanashida na watu wanachukua na kusepa .
Halafu kunawatu matapeli tu hakuna lolote
 
Wakuu habari za muda huu,

Nisiwachoshe na mambo mengi ngoja nije moja kwa moja kwenye mada. Wiki iliyopita katika harakati zangu za kutafuta nilikutana na binti mrembo kiasi.

Kama mjuavyo hulka ya mwanaume anapokutana na pisi lazima utesti mambo. Kwangu pia ilikua hivi toka siku nilipokutana na huyo mrembo niakaaza kumtongoza kwa sababu tayari nilishachukua namba yake licha ya yeye kuto toa jibu la kunikubalia.

Leo kanitumia meseji ya kuniomba shilingi 100,000 kwa masharti ya kumuazima na atarudisha baadae ya wiki 2 Mara baada ya kupokea mshahara kwa kuwa ni mfanyakazi.

Binafsi sijamjibu na sijajua mpaka sasa namjibu nini, nimeamua kuandika hapa ili kuomba ushauri kwamba pisi unayoitokea inapokuomba uiazime pesa itaweza kurejesha kweli? Lakini pia kama ikitokea nikamwazima hiyo pesa ataweka uzito wa kuirejesha kweli?
Toa hela wewe...kama vp muite umnyonye
 
Back
Top Bottom