Binti ninayemtongoza anataka nimuazime Tsh. 100,000/-

Hapo kwenye mbususu umetisha sana
Ndio ukweli huo...hawa viumbe usijaribu kabisa kuwakopesha hela itakula kwako...kuna mmoja nilimkopesha laki tatu niliishia kulipwa kwa kupiga bao tatu ndio ntolee hiyo
 
Ningezaliwa mwanamme ningechakata hizi nyuchi na singetoa mia *****.
Nyuchi zenyewe zimejaa wadudu hatariiii
Gonorrhoea
Sphylis
Trichomonas
HIV
Genitals warts
UTI
Utoko
Fungus
Yaan ukigusa nyuchi yoyote huwez baki salama lazima utoke na kimojawapo kama sio vyote

Hata wewe unakimojawapo hapo
 
Wakuu habari za muda huu,

Nisiwachoshe na mambo mengi ngoja nije moja kwa moja kwenye mada. Wiki iliyopita katika harakati zangu za kutafuta nilikutana na binti mrembo kiasi.

Kama mjuavyo hulka ya mwanaume anapokutana na pisi lazima utesti mambo. Kwangu pia ilikua hivi toka siku nilipokutana na huyo mrembo niakaaza kumtongoza kwa sababu tayari nilishachukua namba yake licha ya yeye kuto toa jibu la kunikubalia.

Leo kanitumia meseji ya kuniomba shilingi 100,000 kwa masharti ya kumuazima na atarudisha baadae ya wiki 2 Mara baada ya kupokea mshahara kwa kuwa ni mfanyakazi.

Binafsi sijamjibu na sijajua mpaka sasa namjibu nini, nimeamua kuandika hapa ili kuomba ushauri kwamba pisi unayoitokea inapokuomba uiazime pesa itaweza kurejesha kweli? Lakini pia kama ikitokea nikamwazima hiyo pesa ataweka uzito wa kuirejesha kweli?
Inawezekana amekuomba mtonyo akiwa na malengo kua ukate tamaa ya kumfuatilia kwakuona kama ni mtu anaye penda sana mitonyo au anataka akupige hiyo laki akupe utelezi mara moja halafu ndo iwe mmemalizana
 
Juzi nilienda kwake ,alikataa nisiingie ndani kwa kuwa kwenye hiyo nyumba ataihama ndani ya siku hizi mbili, pia anadai nimpe pesa amalize mambo yake halafu ndio tuongee vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye bango kubwa taa ni nyingi. Huo mchezo kama nikipofu utaingia kingi
 
Nyuchi zenyewe zimejaa wadudu hatariiii
Gonorrhoea
Sphylis
Trichomonas
HIV
Genitals warts
UTI
Utoko
Fungus
Yaan ukigusa nyuchi yoyote huwez baki salama lazima utoke na kimojawapo kama sio vyote

Hata wewe unakimojawapo hapo
Unapigwa paipu?
 
Wakuu habari za muda huu,

Nisiwachoshe na mambo mengi ngoja nije moja kwa moja kwenye mada. Wiki iliyopita katika harakati zangu za kutafuta nilikutana na binti mrembo kiasi.

Kama mjuavyo hulka ya mwanaume anapokutana na pisi lazima utesti mambo. Kwangu pia ilikua hivi toka siku nilipokutana na huyo mrembo niakaaza kumtongoza kwa sababu tayari nilishachukua namba yake licha ya yeye kuto toa jibu la kunikubalia.

Leo kanitumia meseji ya kuniomba shilingi 100,000 kwa masharti ya kumuazima na atarudisha baadae ya wiki 2 Mara baada ya kupokea mshahara kwa kuwa ni mfanyakazi.

Binafsi sijamjibu na sijajua mpaka sasa namjibu nini, nimeamua kuandika hapa ili kuomba ushauri kwamba pisi unayoitokea inapokuomba uiazime pesa itaweza kurejesha kweli? Lakini pia kama ikitokea nikamwazima hiyo pesa ataweka uzito wa kuirejesha kweli?

Hakikisha unatengeneza mazingira ya kula huo mzigo kabla ya kutoa hiyo hela na ukiona anagoma kutoa mzigo usitoe hela hiyo!

Mwambie aifate geto kwako na uandae mazingira ya kumla kabisa maana akija anajua analiwa kwanza!

Kamwe usikubali kumpa hela kabla ya kula mzigo huo....kama hela zinakuwasha mrushie mama yako mzazi!

Huyo binti usimpe hela yako bure kamwe......
 
Wakuu habari za muda huu,

Nisiwachoshe na mambo mengi ngoja nije moja kwa moja kwenye mada. Wiki iliyopita katika harakati zangu za kutafuta nilikutana na binti mrembo kiasi.

Kama mjuavyo hulka ya mwanaume anapokutana na pisi lazima utesti mambo. Kwangu pia ilikua hivi toka siku nilipokutana na huyo mrembo niakaaza kumtongoza kwa sababu tayari nilishachukua namba yake licha ya yeye kuto toa jibu la kunikubalia.

Leo kanitumia meseji ya kuniomba shilingi 100,000 kwa masharti ya kumuazima na atarudisha baadae ya wiki 2 Mara baada ya kupokea mshahara kwa kuwa ni mfanyakazi.

Binafsi sijamjibu na sijajua mpaka sasa namjibu nini, nimeamua kuandika hapa ili kuomba ushauri kwamba pisi unayoitokea inapokuomba uiazime pesa itaweza kurejesha kweli? Lakini pia kama ikitokea nikamwazima hiyo pesa ataweka uzito wa kuirejesha kweli?
Hapo utatoa hiyo laki then ana kublock mazima. Chamsingi kuna utelezi wa kila aina pande zote za dunia kama unapenda kunyandua tafuta mwingine aliyetayri ili itaukimuonga. Inakuwa tayari ni halali yako.

Mwisho kabisa mwanamke aliyetongozwa akatanguliza njaa ya hela huyo hakupendi bali anataka kutest urefu wa kamba yako. Ili badae akupige na kitu kizito kichwani. [emoji125][emoji125][emoji125]
 
proxy kwanza unaanzaje kumpa au kumtumia hela demu ambaye hujamgonga alafu tena laki kwa usawa huu, huo ni upimbi wa kiwango cha lami, huyo anachokitaka kwako ni kukuchuna na usipokuwa makini hata mbunye utaisikia kwa majirani![emoji16][emoji16]
 
Siku ya pili baada ya kutongoza
 
Attachments

  • IMG_20220211_101134.jpg
    IMG_20220211_101134.jpg
    59.3 KB · Views: 22
  • IMG_20220211_101134.jpg
    IMG_20220211_101134.jpg
    59.3 KB · Views: 21
Kwahiyo nawe ni mwanaume na unatongoza kabisaaaa[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
 
Back
Top Bottom