Binti ninayemtongoza anataka nimuazime Tsh. 100,000/-

Wakuu habari za muda huu,

Nisiwachoshe na mambo mengi ngoja nije moja kwa moja kwenye mada. Wiki iliyopita katika harakati zangu za kutafuta nilikutana na binti mrembo kiasi.

Kama mjuavyo hulka ya mwanaume anapokutana na pisi lazima utesti mambo. Kwangu pia ilikua hivi toka siku nilipokutana na huyo mrembo niakaaza kumtongoza kwa sababu tayari nilishachukua namba yake licha ya yeye kuto toa jibu la kunikubalia.

Leo kanitumia meseji ya kuniomba shilingi 100,000 kwa masharti ya kumuazima na atarudisha baadae ya wiki 2 Mara baada ya kupokea mshahara kwa kuwa ni mfanyakazi.

Binafsi sijamjibu na sijajua mpaka sasa namjibu nini, nimeamua kuandika hapa ili kuomba ushauri kwamba pisi unayoitokea inapokuomba uiazime pesa itaweza kurejesha kweli? Lakini pia kama ikitokea nikamwazima hiyo pesa ataweka uzito wa kuirejesha kweli?
Unayemgegeda hakopeshwi anapewa..!
 
Mapenzi ni UJAMAA SIO UBEPARI
Amka usingizini
 
Piga chini
 
SAHAU KURUDISHIWA
 
Huna hela afu unatongoza tongoza hovyo ukiombwa hela unakuja kulalamika huku SASA UNATONGOZA YA NINI UNATAKA KUGUNDUA NINI? KAMA VOCO ZINAFANYA KAZI VIZURI AU ENEWEI BHNA
 
Unaibiwa

Na ni njia ya kukataliwa pia....

Kama una hela za mawazo usitoe
 
Tanzania hali mbaya ya kiuchumi inakuamulia uwe KAHABA au KIBAKA..
 
Ni mtazamo wako, sisi ma don tunatafuta pesa ili tujifurahishe wenyewe na ndugu zetu, nyie makapuku ndo mnataka kuwaridhisha wanawake duuh!
Huyo kijana hana Akili, unaanzaje kuhonga bila mpango na unae mhonga? Mnafahamiana wiki mbili tayari unaanza kumwaga mpunga hata mwanamke atakuona hujielewi
 
Wanawake wa siku hizi wanna akili saana kuliko wa zamani

Zamani binti kama hakutaki alikuwa hataki hata kukutana na wewe
Hawa awamu hii wakakaa kikao wakajadili kwamba kumwambia mtu mzima mwenzio kwamba sikutaki siyo ustarabu

Wengi wao wakaona iwe fursa yaani ukiona mtu hujamwelewa lakini yeye kang'ang'ana wewe shusha nyavu zako vua kadri ya uwezo wako
Vijana wengi mmejikuta mko njia panda kwa kukosa maarifa

"MWANAMKE MWENYE NIA NZURI HAKUOMBI HELA"
Labda awe amebanwa kwelikweli

100000 kwa hapa uswahilini kwetu ni kodi ya miezi 5
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wala hauhitaji kuwa na mambo mengi mkuu, cha kufanya muite aje getho kuchukua hiyo pesa and then tengeneza mazingira ya kula Mbususu ipasavyo na baada ya hapo ndo umpatie hiyo pesa

Akikataa kutoa mbususu, ataondoka kama alivyokuja
Mbususu. ...daaaha[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom