Binti ninayemtongoza anataka nimuazime Tsh. 100,000/-

Binti ninayemtongoza anataka nimuazime Tsh. 100,000/-

Kakurahisishia kazi huyo, kama unayo mwite lodge mkapeane huko. Hata kama huna mtaftie hata nusu yake. Ila usimpe mpaka akupe
 
Wakuu habari za muda huu,

Nisiwachoshe na mambo mengi ngoja nije moja kwa moja kwenye mada. Wiki iliyopita katika harakati zangu za kutafuta nilikutana na binti mrembo kiasi.

Kama mjuavyo hulka ya mwanaume anapokutana na pisi lazima utesti mambo. Kwangu pia ilikua hivi toka siku nilipokutana na huyo mrembo niakaaza kumtongoza kwa sababu tayari nilishachukua namba yake licha ya yeye kuto toa jibu la kunikubalia.

Leo kanitumia meseji ya kuniomba shilingi 100,000 kwa masharti ya kumuazima na atarudisha baadae ya wiki 2 Mara baada ya kupokea mshahara kwa kuwa ni mfanyakazi.

Binafsi sijamjibu na sijajua mpaka sasa namjibu nini, nimeamua kuandika hapa ili kuomba ushauri kwamba pisi unayoitokea inapokuomba uiazime pesa itaweza kurejesha kweli? Lakini pia kama ikitokea nikamwazima hiyo pesa ataweka uzito wa kuirejesha kweli?
Jichanganye [emoji28][emoji28]
 
From my experience...

Wanawake ni majipu yaliyoiva teyari ukiligusa Tu linapasuka...

Last week nilimuazima Dada mmoja hivi chaja sasa baadaye tukafikia makubaliano anainunua... Huku Mimi nikiwa siko hewani baada ya kuazima chaja niliyokuwa naitumia...

Jipu lenyewe nililipata juzi baada ya kwenda kudai chaja sasa nilienda saa 12 jioni hivi sasa nikapata jukumu la kikazi nikamwambia nitarudi baada ya saa 1, au saa 2 usiku huu kuichukua....

Kilichotokea sasa baada ya kurudi saa 2:46 hivi usiku sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kavaa kinguo fulani hivi... Ghafla nikakaribishwa ndani nilishangaa kwasababu mara ya kwanza last week hakufanya hivyo....

Paap akashika wololoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kilichotokea ni stori....

Sasa kesho yake si nikaidai ile chaja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kilichotokea mpaka sasa imebidi nikanunue nyingine maana mmh?

Sijaambulia Chaja Ila nimepewa Mtelezo plus UDS niko kwenye Doxy [emoji23][emoji23][emoji135][emoji26][emoji23][emoji23][emoji23]

Maelezo haya yoote ni kwamba USITHUBUTU KUMPATIA HIYO LAKI 1
 
We mpe tu. Sijuhi huyo mimi sikuwah kurudishiwaga. Sasa hivi demu akija na gia ya mkopo, kama ninayo Nampa tu. Akirudisha sawa asiporudisha sawa
Ila akija man unamkazia mpaka arudishe sio? F*cking idiot ikiwa unafanya hivyo, nyie ndio mnaoturudishia maendeleo yetu nyuma
 
Toa pesa acha ngonjela mingi zisiZo na maana, Kaz ya mwanaume ni kutafta pesa na kumuhudumia mwanamke.

Wanaume tutafte pesa ata km sio nying ila tutafte pesa ili tuweze kuwaudumia tuwapendao.

Mwanaume tunakosa usingizi ili tunaowapenda walale na wapate usingizi iyo ndo nature
Ni mtazamo wako, sisi ma don tunatafuta pesa ili tujifurahishe wenyewe na ndugu zetu, nyie makapuku ndo mnataka kuwaridhisha wanawake duuh!
 
Wala hauhitaji kuwa na mambo mengi mkuu, cha kufanya muite aje getho kuchukua hiyo pesa and then tengeneza mazingira ya kula Mbususu ipasavyo na baada ya hapo ndo umpatie hiyo pesa

Akikataa kutoa mbususu, ataondoka kama alivyokuja
Mbususu Kwa laki aisee si Bora 40 yani laki kabisaa
 
Wakuu habari za muda huu,

Nisiwachoshe na mambo mengi ngoja nije moja kwa moja kwenye mada. Wiki iliyopita katika harakati zangu za kutafuta nilikutana na binti mrembo kiasi.

Kama mjuavyo hulka ya mwanaume anapokutana na pisi lazima utesti mambo. Kwangu pia ilikua hivi toka siku nilipokutana na huyo mrembo niakaaza kumtongoza kwa sababu tayari nilishachukua namba yake licha ya yeye kuto toa jibu la kunikubalia.

Leo kanitumia meseji ya kuniomba shilingi 100,000 kwa masharti ya kumuazima na atarudisha baadae ya wiki 2 Mara baada ya kupokea mshahara kwa kuwa ni mfanyakazi.

Binafsi sijamjibu na sijajua mpaka sasa namjibu nini, nimeamua kuandika hapa ili kuomba ushauri kwamba pisi unayoitokea inapokuomba uiazime pesa itaweza kurejesha kweli? Lakini pia kama ikitokea nikamwazima hiyo pesa ataweka uzito wa kuirejesha kweli?
Mkuu acha ujinga nakushauri uachane nae huyo , 100,000 ni kubwa mno kwauzoefu nilionao kwa wanawake najua huo amekutega mtego ili ujinase
 
Wakuu habari za muda huu,

Nisiwachoshe na mambo mengi ngoja nije moja kwa moja kwenye mada. Wiki iliyopita katika harakati zangu za kutafuta nilikutana na binti mrembo kiasi.

Kama mjuavyo hulka ya mwanaume anapokutana na pisi lazima utesti mambo. Kwangu pia ilikua hivi toka siku nilipokutana na huyo mrembo niakaaza kumtongoza kwa sababu tayari nilishachukua namba yake licha ya yeye kuto toa jibu la kunikubalia.

Leo kanitumia meseji ya kuniomba shilingi 100,000 kwa masharti ya kumuazima na atarudisha baadae ya wiki 2 Mara baada ya kupokea mshahara kwa kuwa ni mfanyakazi.

Binafsi sijamjibu na sijajua mpaka sasa namjibu nini, nimeamua kuandika hapa ili kuomba ushauri kwamba pisi unayoitokea inapokuomba uiazime pesa itaweza kurejesha kweli? Lakini pia kama ikitokea nikamwazima hiyo pesa ataweka uzito wa kuirejesha kweli?
Wanawake wa kibongo ni nyoko,yani ukimtongoza kinachofuata utaambiwa kodi ya nyumba imeisha,luku imekata,kafiwa,kaibiwa yani full sinema...yani wana njaa kuliko kiumbe yeyote
 
Yaan mkiombwa pesa kidogo tu mnachanganyikiwaga hiviiii kumbe!
Today's world [emoji119]
 
Juzi nilienda kwake ,alikataa nisiingie ndani kwa kuwa kwenye hiyo nyumba ataihama ndani ya siku hizi mbili, pia anadai nimpe pesa amalize mambo yake halafu ndio tuongee vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan umpe hela ndo muongee vizuri [emoji1][emoji1][emoji1]
Amini nakwambia huyo ni tapeli, hapo ukishampa lazima atakwambia ana mtu wake, then kurudisha hiyo hela itakuwa kipengere.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningezaliwa mwanamme ningechakata hizi nyuchi na singetoa mia *****.
Hahahahhahah ungeishia kuteseka kama mtoa mada tu maana bila cash hata salamu tu kuitikiwa ni ngumu!

Ungechakata mabeki tatu labda bila kutoa hata 100
 
Back
Top Bottom