Binti ninayemtongoza anataka nimuazime Tsh. 100,000/-

Wakuu habari za muda huu,

Nisiwachosha na mambo mengi ngoja nije moja kwa moja kwenye mada. Wiki iliyopita katika harakati zangu za kutafuta nilikutana na binti mrembo kiasi.

Kama mjuavyo hulka ya mwanaume anapokutana na pisi lazima utesti mambo. Kwangu pia ilikua hivi toka siku nilipokutana na huyo mrembo niakaaza kumtongoza kwa sababu tayari nilishachukua namba yake licha ya yeye kuto toa jibu la kunikubalia.

Leo kanitumia meseji ya kuniombo shilingi 100,000 kwa masharti ya kumuazima na atarudisha baadae ya wiki 2 Mara baada ya kupokea mshahara waka kwa kuwa ni mfanyakazi.

Binafsi sijamjibu na sijajua mpaka sasa namjibu nini, nimeamua kuandika hapa ili kuomba ushauri kwamba pisi unayoitokea inapokuomba uiazime pesa itaweza kurejesha kweli? Lakini pia kama ikitokea nikamwazima hiyo pesa ataweka uzito wa kuirejesha kweli?
Temana nae
 
Kama hujagundua siku hizi wamekuja na mbinu mpya ya kukupa za uso nayo kukupiga kizinga heavy wakijua kabisa ndiyo tiketi yako ya kusema bye bye
 
Wakuu habari za muda huu,

Nisiwachosha na mambo mengi ngoja nije moja kwa moja kwenye mada. Wiki iliyopita katika harakati zangu za kutafuta nilikutana na binti mrembo kiasi.

Kama mjuavyo hulka ya mwanaume anapokutana na pisi lazima utesti mambo. Kwangu pia ilikua hivi toka siku nilipokutana na huyo mrembo niakaaza kumtongoza kwa sababu tayari nilishachukua namba yake licha ya yeye kuto toa jibu la kunikubalia.

Leo kanitumia meseji ya kuniomba shilingi 100,000 kwa masharti ya kumuazima na atarudisha baadae ya wiki 2 Mara baada ya kupokea mshahara kwa kuwa ni mfanyakazi.

Binafsi sijamjibu na sijajua mpaka sasa namjibu nini, nimeamua kuandika hapa ili kuomba ushauri kwamba pisi unayoitokea inapokuomba uiazime pesa itaweza kurejesha kweli? Lakini pia kama ikitokea nikamwazima hiyo pesa ataweka uzito wa kuirejesha kweli?
Hii kitalam inaitwa REGISTRATION FEE
 
Toa pesa acha ngonjela mingi zisiZo na maana, Kaz ya mwanaume ni kutafta pesa na kumuhudumia mwanamke.

Wanaume tutafte pesa ata km sio nying ila tutafte pesa ili tuweze kuwaudumia tuwapendao.

Mwanaume tunakosa usingizi ili tunaowapenda walale na wapate usingizi iyo ndo nature
 
Angekua kakukubalia afadhali ungejua unahonga dem wako sas ata jibu la ndio hajatoa, mzinga wa 100k,
piga chin uyo, kam una malengo nae bado buni mbinu,

Au kam kipato chako ni kikubwa mpe tu.
 
Toa pesa acha ngonjela mingi zisiZo na maana
Kaz ya mwanaume ni kutafta pesa na kumuhudumia mwanamke
Huu ni ujinge tena ujinga uliokisili wanaume tumekua watu wa kulalamika kla sku pesa pesa sas hamjui kaz ya mwanaume ni kufanya kaz na kutafta pesa na km huna pesa na unataka mapenzi tomboaaa mkono wako au tafta mgomba utoboe tundu uingize mboo yako au tafta wanyama si pia wana uchi
Wanaume tutafte pesa ata km sio nying ila tutafte pesa ili tuweze kuwaudumia tuwapendao
Mwanaume tunakosa usingizi ili tunaowapenda walale na wapate usingizi iyo ndo nature
Oy we sikia sas, ingekua vocha sawa lakin laki uczani watu wote wana uchumi kam wako mzee, usirahisishe mamb ivo mzee, uhudumie mwanamke sio wako
 
Mkuu, kama utampa hiyo hela na huku hujamla tegemea maumivu!
Kamwe mwanamke anae kuomba hela nyingi hivyo ghafla kwa usawa wa Watanzania laki ni nyingi.
Haina maana kwamba ameanza kukupenda la hasha! Ukimpa hiyo atataka na kutaka mwisho utachoka mwenyewe!
Kama kweli amekupenda asingedhubutu kuomba maana ungemdharau kwa kuwa hana mpango na wewe ndio hivyo. Sasa fanya hivi umemtamani/ umempenda? Mwiite Lodge or Guest house mkabidhiane huko
 
Wakuu habari za muda huu,

Nisiwachosha na mambo mengi ngoja nije moja kwa moja kwenye mada. Wiki iliyopita katika harakati zangu za kutafuta nilikutana na binti mrembo kiasi.

Kama mjuavyo hulka ya mwanaume anapokutana na pisi lazima utesti mambo. Kwangu pia ilikua hivi toka siku nilipokutana na huyo mrembo niakaaza kumtongoza kwa sababu tayari nilishachukua namba yake licha ya yeye kuto toa jibu la kunikubalia.

Leo kanitumia meseji ya kuniomba shilingi 100,000 kwa masharti ya kumuazima na atarudisha baadae ya wiki 2 Mara baada ya kupokea mshahara kwa kuwa ni mfanyakazi.

Binafsi sijamjibu na sijajua mpaka sasa namjibu nini, nimeamua kuandika hapa ili kuomba ushauri kwamba pisi unayoitokea inapokuomba uiazime pesa itaweza kurejesha kweli? Lakini pia kama ikitokea nikamwazima hiyo pesa ataweka uzito wa kuirejesha kweli?

Usimkopeshe wewe mpe 😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom