theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Toto Ana shape hatariii... [emoji39] [emoji39] analiwa bila soksi kabisaaView attachment 515618
Chombo hiki hapa[emoji176][emoji176][emoji116][emoji116]
Chombo hiki hapa[emoji176][emoji176][emoji116][emoji116]
Hivi JF nako kuna mabinti!!!?Na binti wa JF unaempenda ni nani?[emoji53][emoji53][emoji53]
Duh we ni wa nchi hii kweli maana hayo maswaga si ya nchii hii umetisha mtu wangu endelea kupolomosha maujanjaMbona hiyo mbinu ndogo sana
Anaweza kumwambia ana duka la nguo anahitaji kumtumia kwa matangazo
waonane wapi...
wadada wa instagram we waambie una biashara unataka watangaze kwenye page zao
utashangaa..
Dah we jamaa hatari kwa afya.... Weka mbali na madem[emoji15] [emoji15]Duh we ni wa nchi hii kweli maana hayo maswaga si ya nchii hii umetisha mtu wangu endelea kupolomosha maujanja
Ndio,that's y nkaanza na kusema huko vizuri.Mkuu kazi za huyo Maua sama umezisikiliza zote?
Acha kulinganisha mziki mzuri wa maua na huyo sijui na nani wakoNdio,that's y nkaanza na kusema huko vizuri.
But msikilize na Nancy mkuu. Utaelewa Nina maanisha nni...si wakumdharau Hata kidogo
Unapenda ubwenyenye sana mkuuHebu weka kapicha kake na wewe mwana wane
Feza kessy.Nan huyo
Mi kaugonjwa kangu kapo kwa presenta wa xxl Mamy baby yani nakazimia sana kale kadada kanaonekana kataalam sana ka kucheza na maiki kanaimeza yooteeNiaje masela na sisterdu kama kawa kama gwala niko hapa kukuletea kajina ka haka kabinti kamoja kutoka bongo freva kabinti ambako huwa nakapenda sana
Yaan hako kabinti kana sauti tamu ni balaa yaan ni hatali haka kabinti kaana miondoko fulan ya hatari sana, na hakapend upuuzi wa mitandao na maskendo ya ajabu ajabu
Kwakweli nakapenda sana kabinti haka SI KENGINE NI MAUA SAMA
nawe waweza kuweka unakokapenda mimi kangu ndo hako wala sitaki ukakandie ukiona ni kabaya nawe weka kakoView attachment 515593View attachment 515593
Niaje masela na sisterdu kama kawa kama gwala niko hapa kukuletea kajina ka haka kabinti kamoja kutoka bongo freva kabinti ambako huwa nakapenda sana
Yaan hako kabinti kana sauti tamu ni balaa yaan ni hatali haka kabinti kaana miondoko fulan ya hatari sana, na hakapend upuuzi wa mitandao na maskendo ya ajabu ajabu
Kwakweli nakapenda sana kabinti haka SI KENGINE NI MAUA SAMA
nawe waweza kuweka unakokapenda mimi kangu ndo hako wala sitaki ukakandie ukiona ni kabaya nawe weka kakoView attachment 515593View attachment 515593
bado kijaaribika kitu mkuu......si unaona mwenyewe chombo hichoohuyo mtoto yuko vizuri sema wajanja walisha mzaliaha wakabwaga.