othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Leta nyuz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni sehemu pekee inayofichwa na wanahistoria kuhusu uchafu wa huyu mzee mm personally nilisimuliwa na babu yangu mazuri na mabaya ya huyu anaitwa Kreluu intact alikuwa muonevu na mbabe wa kijinga. Kwa sehemu kama Iringa na wakati ule alijichanganya angeenda kuleta uhuni wake Moshi sio IringaMie nilivyosikia, kileruu, alimchukua mke wa huyo Mwamundi, tena akawa anamkejeli mwenye mke wake
Hii historia huwezi ipata Kalenga,kalenga uliza kuhusu mkwawa utaelezwa. Mwamwindi nenda isimani ndo watamueleza vizur. Nimewahi kuishi kalenga kwa miaka 3 hawajui lolote kuhusu hiloKwa maelezo nliyosimuliwa na Marehemu Bibi Yangu Miaka mingi kidogo, Bwana Kreruu alikua mkatili sana, bibi anasema siku ambayo mwamwindi alimpiga risasi taharifa zilivuma kwa haraka maeneo ya Iringa mjini na viunga vyake. Bibi anasema baada ya tu taharifa kuzagaa wakinamama wa kihehe walisogea kwenye vibongonyera (Pembe za Nyumba) wananena (Wanasema au kuomboleza) maneno ya kihehe baada s kunena hayo maneno wanapiga vigeregere.
Bibi anasema kwa wakati huo, ilikua ni kama sherehe kreruu kuuwawa, Mwamwindi kwa jamii ya wahehe alionekana kama Shujaa na Mkombozi dhidi ya udhalimu wa kreruu.
Ubaya ni kwamba Bibi Alifariki, ila nitarejea siku moja kwa wazee Kalenga kuweza kupata historia zaidi ya nini kilichotokea.
Hii habari ya Krismas ndio naisikia kwako.Mkuu wa Mkoa wa iringa Dr. Kleruu alidhani kila mtu ni mkristo kwa kumlazimisha Mzee Saidi mwamwindi aache kulima ili asherehekee Krismas matokeo yake ndiyo hayo! mauaji dhidi ya binaadamu wenzetu hayakubaliki! lakini kutumia mamlaka uliyopewa na wananchi kuwadhalilisha raia zako pia haikubaliki!
Uamuzi wa binti wa dr. Kleruu kutaka kujenga mahusiano na familia ya Marehemu Saidi Mwamwindi ni uamuzi wa busara ambao kila mpenda amani atayakaribisha! ila kifo cha Kleruu ni fundisho kwa kila dikteta na kiongozi anaeongoza kimabavu!
Kisa kizima cha mauaji ya Dr. Kleruu gonga hapa: Raia Mwema - Kwa nini mkulima Mwamwindi alimpiga risasi RC Dk. Kleruu? VII
Ndio ulivyodanganywa?Mkuu wa Mkoa wa iringa Dr. Kleruu alidhani kila mtu ni mkristo kwa kumlazimisha Mzee Saidi mwamwindi aache kulima ili asherehekee Krismas matokeo yake ndiyo hayo! mauaji dhidi ya binaadamu wenzetu hayakubaliki! lakini kutumia mamlaka uliyopewa na wananchi kuwadhalilisha raia zako pia haikubaliki!
Uamuzi wa binti wa Dr. Kleruu kutaka kujenga mahusiano na familia ya Marehemu Saidi Mwamwindi ni uamuzi wa busara ambao kila mpenda amani atayakaribisha! ila kifo cha Kleruu ni fundisho kwa kila dikteta na kiongozi anaeongoza kimabavu!
Kisa kizima cha mauaji ya Dr. Kleruu gonga hapa: Raia Mwema - Kwa nini mkulima Mwamwindi alimpiga risasi RC Dk. Kleruu? VII
Mzushi huyo shida ilkuwa ujamaaHii habari ya Krismas ndio naisikia kwako.
Sasa wewe unayebisha ndio utoe ukweli maana huwezi kubishia kitu usichokijua other wise kama huamini una kaa kimya. Lakini kubisha na kuwataka hao hao wanaokuambia watafute ukweli wakati wewe mwenyewe huna huo ukweli ina kuwa haina maana.Hii sotry sio ya kweli, tafuteni sababu hasa na mfahamu kilichotokea
Sasa wewe unayebisha ndio utoe ukweli maana huwezi kubishia kitu usichokijua other wise kama huamini una kaa kimya. Lakini kubisha na kuwataka hao hao wanaokuambia watafute ukweli wakati wewe mwenyewe huna huo ukweli ina kuwa haina maana.Hii sotry sio ya kweli, tafuteni sababu hasa na mfahamu kilichotokea
... yaani huyo Mungu kila siku anabadilisha mahali anapoweka marehemu? Nachojua akishaweka mtu pahala pake ni mara moja tu na habadilishi. Kleruu alishawekwa anapostahili siku ile ya Desemba 25, 1971 na hatobadilishiwa kikao kamwe!Mungu amweke Dr Kleruu Mahali anapositahili
Yes!!! Kesi iliamuliwa kisiasa na kwa hasira!!! Imagine raisi anasign hukumu ya kifo wakati alikuwa mgumu sana kisign!!!! Hasira hasara kwa both sides. Hasira ilimponza Mwamwindi na hasira hiyo hiyo ikahukumu kifo chake!! Very sorry!it was very poor judgement kwa upande wa mzee mohamed kwani hata kama alifanya hivyo death penalty was not appropriate. i beleive yeye alipewa full access to the court of law and receive fair justice.
Masikini wameamua kukaa kimya tu. Waliamua ku-lay a low profile!!! Na nadhani waliamua vizuri maana hasira dhidi ya baba yao ingewakumba wangeishia pabaya.Kwa miaka sita sasa, tumekua na ma Kleruu wengi mno. On the flip side, akina Maalim Ustaadh Mkulima Mzee Mwamwindi hawapo
Pamoja na yule jambazi wa hai aliyesimamishwaMarehemu huyu anafanana na Paul Makonda!
Wapo na wanaishi block 41 morocoKwa miaka sita sasa, tumekua na ma Kleruu wengi mno. On the flip side, akina Maalim Ustaadh Mkulima Mzee Mwamwindi hawapo