Binti wa dukani alitafutiwa kazi hii kwa taabu sana ila cha ajabu hajamaliza hata mwaka ana mimba, Ntalaumiwa nikiweka binti mwengine?

Mwambie amlete aliyetia mimba kwa bosi.
Mwambie kuna wateja wana aleji na mtu mwenye mimba
 
Ongezea kucha na nywele ili hasira zipunngue. Hilo duka lako ni hardware kwamba vitu ni vizito hawezi kubeba.?
 
Kama mazingira ya kazi hayaruhusu mjamzito, terminate mkataba tafuta mbadala
 
Wrka kijana wa kiume, wa kike wana changamoto ya kudhani anakimbizana na umri hivyo akitongozwa anaamini kapata tobo alilokuwa analikbilia...
 
hapo tatizo ni uyo mdada kawa muongomuongo hajawa muwazi, anamdanganya bosi wake. iyo mimba sio tatizo mbona
 
nadhani hujamuelewa.. ameuliza baada ya kupata mimba utendaji kazi wake dukani utakuwa na ufanisi? wadada/mama humu mpeni jibu
Uzi umeeditiwa
Mwanzo halikuwepo hilo swali
 
Muwe
Huyo sio binti Tena,NI mama.
Mtafute mwingine.
Duka liko wapi?
 
MABINTI WAKIPEWA SEHEMU YA KULA, KULALA NA KUVAA.
WANAONA MAISHA NI RAHIS SANA, NA WANAONA KILA MWANUME ANAMAPENZI YA KWELI KWAKE.
NA UKIMSHAURI, HAMTAELEWANA. ATAONA KUNAMZIBIA FURSA.

AKIPEWA MINBA HIVYO, HALAFU MWAMBIE AKAISHI KWA HUYO MWENZIE KWA WIKI MOJA TU ANACHOKA.
NA KURUDI KWAKO ANAOGOPA KWANI MENGI ULIISHA MWELEZA.

KUKWEPA MZIGO WA MIMBA, ATASHAURIWA NA MWENZIE AENDE KUJIFUNGUA KWAO, KIJIJINI!.
MTOTO ANAKUWA NI MZIGO WA MAMA, BIBI, WAJOMBA, NK.

NDIO HAWA WA "ALINIPA MIMBA, AKANITELEKEZA" ! WANAUME WOTE MBWA!
 

Sema Uko mbali ungepata soda [emoji3047]
 
Hajalalamikia mimba, kalalamika kuhusu wingi wa visingizio katikati ya week na kufunga duka.
Hujaelewa nini?

Kwani nimesema kalalamika?

Wewe hujaelewa nini kwamba comment yangu iko kwenye muundo wa swali?
 
nadhani hujamuelewa.. ameuliza baada ya kupata mimba utendaji kazi wake dukani utakuwa na ufanisi? wadada/mama humu mpeni jibu
Uzi ume editiwa, mwanzoni alistahili majibu hayo
 
Kinachokuuma ni vile tu mimba sio yako!
Hivi kwanini watu wanakuwa na mawazo ya kijinga kama haya? Kwa mfanyabiashara, kutofungua duka kwa siku Moja ni hasara kubwa. Mbaya zaidi sababu ziwe za kijinga inauma. Sijaona popote huyu jamaa akilalamika kuhusu kutokuwa muhusika wa hiyo mimba. Kwanini imuume ? Kwaza huwezi kuwa na Binti wa dukani ukamgeuza mpenzi. Ni ujinga wa hali ya juu mno. Kwanini watu mnawaza kuwa anaumia kwakuwa hajatia yeye mimba?
 
Mbona umeuliza kwa lazima au unadhani mimba ni yetu
 
Nadhani hujawahi kufanya biashara au kuwa serious na biashara, kwa biashara hata lisaa limoja kuchelewa kufungua naweza kukufukuza kazi.
 
Watu humu wana act kuwa ni haki ya huyo mdada kupata mimba, ila wajue tu ufanisi utashuka mara dufu na hapo akifika miezi 7 ndio kufunga kutaongezeka, akijifungua akae siku karibu 40 ndani, akirudi napo ufanisi unakuwa very down,
Halafu mtu amkumbatie mtu kama huyo dukani?
Mkuu terminate mkataba sema tu mpe haki zake anazostahili
 
Nadhani hujawahi kufanya biashara au kuwa serious na biashara, kwa biashara hata lisaa limoja kuchelewa kufungua naweza kukufukuza kazi.
Mimi ni mfanyabiashara,ndio maana nawashangaa wanaodai jamaa anaumia kwakuwa hajatia yeye mimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…