Binti wa jirani yetu aliwahi kuchukuliwa kwenda kusomeshwa kumbe anapelekwa kwenye mafunzo ya Ugaidi Al Shabab Kenya

Story hii ni ya ukweli takribani miaka 7 sasa imetimia tangu tukio hilo litokee.

Kiufupi ilikuwa hivi.

Mama mzazi wa Binti ambaye alikua ni mjane kutokana na Hali duni ya maisha baada ya miaka mingi kufiwa na mume wake aliendelea kuishi kwa shida huku akipambana kutafuta chakula na kusomesha watoto wake. Ndipo siku moja alipotembelewa na kaka yake aliekuwa anaishi Kenye ambaye kwa sasa navyoandika muda huu ni marehemu (aliuwa na wanausalama).

Kaka wa mama huyo alikua tayari ameshakuwa ni kiongozi wa Dini (Islam) huko nchini Kenya na maarafu Sana tofauti na mama huyo ambaye alikua ni mkristo hata marehemu mume wake alikua ni mkristo.

Basi, Kaka wa Mama huyo baada ya kumtembelea Dada yake maana ilikua ni muda mrefu Tangu alipoamia Kenya alimuomba amchukue Binti yake (mtoto wa Dada yake) akaishi naye kwa lengo la kumsaidia Dada yake na kumsomesha kwa kuwa Dada yake anaishi maisha ya kipato cha chini sana.

Kutokana na wazo hilo na kwakuwa mama wa binti alitamani siku moja binti apate elimu maana yeye asingeweza mudu gharama za kumsomesha alikubali.

Kaka wa mama yule alimuambia Dada take kuwa Kuna Taasisi ya kidini inatoa Scholarship kwa watoto wanaoishi mazingira magumu na inahitaji watu wa dini ya kiislamu kuweza wafadhili na mimi kwa eneo la msikiti nilipo Mimi ndio ni kiongozi wa hapo hivyo itakuwa rahisi na yeye aingizwe kwenye iyo program.

Mama mwanzo alikataa binti yake hawezi kubadili dini ila kwa sababu ya shida alikubali.

Maisha ya Binti alipofika Kenya
Binti anasimulia alipofika Kenya kwa kaka wa mama yake alikutana na idadi kubwa ya watoto wadogo wa Rika tofauti takribani watoto 50 na kila baada ya week walikuwa wanaondoka na wengine wanakuja awali hakujua wanapelekwa wapi.

Taratibu zikaanza za kuanza kufundishwa Lugha ya kiarabu na mafundisho ya Dini na hata uvaaji wa Nguo na kuishi kwa destury za kiislamu.

Mavazi yao walikuwa wanavaa mavazi yanayoziba sehemu zote za mwili hata mikononi pia walivaa groves USO wote ulifunikwa hawakuruhusiwa kujichanganya na watu wengine.

Maisha ya pale polepole akaanza kuyazoea. Akiiaminishwa kuwa baada ya elimu ya Dini akifaulu atapata nafasi nyingine ya kuingizwa kwenye program alisona kwa bidii na akafaulu mafunzo hayo baada ya miezi 4 kundi lao lilichukuliwa na kupelekwa eneo jingine ambalo haikufahamika ni wapi huko ndipo waliloanza kufundishwa itikadi kali za kuwachukia wasio na dini zao namna ya kujitoa muhanga mafundisho mengi na ya visasi.

Alikutana na wenzake ambao walikuwa wameshafundishwa mapigano kutengeneza silaha, vilipuzi, kutumia jambia, kuteka na mafundisho mengi sana.

Alishuhudia watu wakiletwa pale na kuamriwa wanafunzi waweze kuwachinja kwakuwa hawakukubali dini ya kweli.

Itaendelea....
binti alitoka mwanza chief? kuna stori inafanana na hii, ngoja tuone
 
Huwezi kusoma uislam kwa kiarabu kwa miezi minne ukafaulu,hiyo ni sawa ufundishwe ukiristo kwa kiingereza miezi minne na ufaulu/umudu,acha uwongo,kwani ukiendelea kumuomba yesu bila chuki kwa dini zingine hutoupata ufalme wa milele!?
 
Unasema ni chai ya moto kabisa, na wakati kuna Watanzania kibao tu wamekamatwa, kuuwawa, na hata wengine kufungwa huko Kenya kwa sababu ya kushiriki hivyo vitendo vya kigaidi, baada ya kurubuniwa na watu wasio wema!!
Huwezi soma kiarabu miezi ukakimudu, achilia mbali kusoma dini.. story yake ya uwongo,Kuna ukuaji wa wakiristo siasa Kali,Wana chuki Sana na uislam/waislam,ni hatari,tuwakumbushe tu kuwa Kuna wendawazimu wenzao wengi tu kwenye uislam,na matunda yake watayala wakiendelea na huo ujinga
 
Another Rubbish in the City,kuvaa rozari tu hujui upo bize kupekuwa umbeya .You are Stupid.!!
 
Huwezi kusoma uislam kwa kiarabu kwa miezi minne ukafaulu,hiyo ni sawa ufundishwe ukiristo kwa kiingereza miezi minne na ufaulu/umudu,acha uwongo,kwani ukiendelea kumuomba yesu bila chuki kwa dini zingine hutoupata ufalme wa milele!?
Mkuu ukristo unaingiaje apo mbn kama umepanic
 
Huwezi soma kiarabu miezi ukakimudu, achilia mbali kusoma dini.. story yake ya uwongo,Kuna ukuaji wa wakiristo siasa Kali,Wana chuki Sana na uislam/waislam,ni hatari,tuwakumbushe tu kuwa Kuna wendawazimu wenzao wengi tu kwenye uislam,na matunda yake watayala wakiendelea na huo ujinga
Inawezekana ikawa ni story ya kutunga. Sawa. Ila tukija kwenye uhalisia, ni kweli kuna baadhi ya watu wasio na nia njema, wamekuwa wakiwarubuni vijana kujiunga na makundi ya kigaidi kama Al Shaabab, nk.

Hivyo jamii inatakiwa kuwa macho. Maana mwisho wa siku familia za hao vijana ndizo zinazoathirika kwa kuwapoteza wapendwa wao.
 
Hatari sana hii dini, jameni huwa nina wasiwasi sana na baadhi ya haya mzombi yaliyo karibu na vitufe vya nyuklia kama Pakistan, sijui mbinu gani hutumika kuwadhibiti.
 
NINACHO JUA YESU KRISTO ANAFUNDISHA UPENDO TENA ANASEMA UMPENDE ADUI YAKO.

SISI HUKU HATUFUNDISHWI KUCHINJA WATU HATA WAISLAM TUNAFUNDISHWA KUWAPENDA NA KUWAFUNDISHA MUNGU WA KWELI ANAYE TENDA KAZI KWA MWANAE YESU KRISTO.
a0ebc181b6160f453ab2f668485c2458.jpg
 
Uong
Story hii ni ya ukweli takribani miaka 7 sasa imetimia tangu tukio hilo litokee.

Kiufupi ilikuwa hivi.

Mama mzazi wa Binti ambaye alikua ni mjane kutokana na Hali duni ya maisha baada ya miaka mingi kufiwa na mume wake aliendelea kuishi kwa shida huku akipambana kutafuta chakula na kusomesha watoto wake. Ndipo siku moja alipotembelewa na kaka yake aliekuwa anaishi Kenye ambaye kwa sasa navyoandika muda huu ni marehemu (aliuwa na wanausalama).

Kaka wa mama huyo alikua tayari ameshakuwa ni kiongozi wa Dini (Islam) huko nchini Kenya na maarafu Sana tofauti na mama huyo ambaye alikua ni mkristo hata marehemu mume wake alikua ni mkristo.

Basi, Kaka wa Mama huyo baada ya kumtembelea Dada yake maana ilikua ni muda mrefu Tangu alipoamia Kenya alimuomba amchukue Binti yake (mtoto wa Dada yake) akaishi naye kwa lengo la kumsaidia Dada yake na kumsomesha kwa kuwa Dada yake anaishi maisha ya kipato cha chini sana.

Kutokana na wazo hilo na kwakuwa mama wa binti alitamani siku moja binti apate elimu maana yeye asingeweza mudu gharama za kumsomesha alikubali.

Kaka wa mama yule alimuambia Dada take kuwa Kuna Taasisi ya kidini inatoa Scholarship kwa watoto wanaoishi mazingira magumu na inahitaji watu wa dini ya kiislamu kuweza wafadhili na mimi kwa eneo la msikiti nilipo Mimi ndio ni kiongozi wa hapo hivyo itakuwa rahisi na yeye aingizwe kwenye iyo program.

Mama mwanzo alikataa binti yake hawezi kubadili dini ila kwa sababu ya shida alikubali.

Maisha ya Binti alipofika Kenya
Binti anasimulia alipofika Kenya kwa kaka wa mama yake alikutana na idadi kubwa ya watoto wadogo wa Rika tofauti takribani watoto 50 na kila baada ya week walikuwa wanaondoka na wengine wanakuja awali hakujua wanapelekwa wapi.

Taratibu zikaanza za kuanza kufundishwa Lugha ya kiarabu na mafundisho ya Dini na hata uvaaji wa Nguo na kuishi kwa destury za kiislamu.

Mavazi yao walikuwa wanavaa mavazi yanayoziba sehemu zote za mwili hata mikononi pia walivaa groves USO wote ulifunikwa hawakuruhusiwa kujichanganya na watu wengine.

Maisha ya pale polepole akaanza kuyazoea. Akiiaminishwa kuwa baada ya elimu ya Dini ya awali akifaulu atapata nafasi nyingine ya kuingizwa kwenye program alisona kwa bidii na akafaulu mafunzo hayo baada ya miezi 4 kundi lao lilichukuliwa na kupelekwa eneo jingine ambalo haikufahamika ni wapi huko ndipo waliloanza kufundishwa itikadi kali za kuwachukia wasio na dini zao namna ya kujitoa muhanga mafundisho mengi na ya visasi.

Alikutana na wenzake ambao walikuwa wameshafundishwa mapigano kutengeneza silaha, vilipuzi, kutumia jambia, kuteka na mafundisho mengi sana.

Alishuhudia watu wakiletwa pale na kuamriwa wanafunzi waweze kuwachinja kwakuwa hawakukubali dini ya kweli.

Itaendelea....
Hamna ukweli wowote hapo
 
Back
Top Bottom