Muulize samia atasema yoteHabari wana jf Kuna ishu siipendi lakin pia Nina mashaka nayo kwa dada WA kazi nyumbani kwangu .
Akiwa anapakua chakula anapanua miguu halafu sahani sufuria kila kitu anaweka katikati ya miguu anaanza kupakua ....? hii haijakaa kishirikiana?
hauna pichaUZI BATILI
🤣😂🤣hauns picha
😂😂😂😂View attachment 3510638
Wazee wa Dar wanasema anaongeza aroma na flavor kwenye msosi.
Hahaha 😂😂Huo ni ushirikina heavy, ndiyo maana umetulia na umeshindwa kabisa kumuonya badala yake unakuja kulialia huku JF.
Au aanze kunyetuka.Kamsemee kwa babaake
Hahaha 😂hahahah kwa muktadha huo ni kuwa dinning table hauna so chakula anapakulia kwenye mkeka😂
Wamakonde wana tabia zipi kaka kabla sijajilipua kumuweka ndani 😁Itakua katokea Mtwara kwa watani zetu wamakonde
Hahahaha ila huyo binti kazinguaXiao qui shui ww unafuatag nn jikoni
1. Unakoishi chakula kinapakuliwa jikon au dinning au sebleni,
2. Wewe huwa unafuata nini jikoni?
Nb: UMESEMA KUNA VITU HUVIELEWI HUMU, NA WEWE NIKUULIZE ANAFUNUA MIGUU IPI?
😁😁😁Huo ni ushirikina heavy, ndiyo maana umetulia na umeshindwa kabisa kumuonya badala yake unakuja kulialia huku JF.