Binti WA kazi amapakua chakula miguu ikiwa amepanua

Habari wana jf Kuna ishu siipendi lakin pia Nina mashaka nayo kwa dada WA kazi nyumbani kwangu .

Akiwa anapakua chakula anapanua miguu halafu sahani sufuria kila kitu anaweka katikati ya miguu anaanza kupakua ....? hii haijakaa kishirikiana?
Muulize samia atasema yote
 
hahahah kwa muktadha huo ni kuwa dinning table hauna so chakula anapakulia kwenye mkekaπŸ˜‚
 
Hv nyie wanaume mnaokujaga kulialia jeifu mlitahiriwa hospital au porini???? Mbona mnaonyesha uzembe wa Hali ya juu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…