Binti wa Kireno kaondoka na akili zangu kwenye foleni ya chakula cha bure Jijini Geneva (Switzerland)

mkuu bila picha ni kuharibu uzi ni sawa na masai bila shanga epu fanya fanya akili ndugu zako tumjue mrembo
 
Wewe si ndio ulikuwa unataka kurudi TZ? Naona unaanza kuzoea Maisha ya huko taratibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…