Binti wa Kireno kaondoka na akili zangu kwenye foleni ya chakula cha bure Jijini Geneva (Switzerland)

ndugu naomba nikuulize tena baada ya kunijibu swali langu la kwanza na nimefahamu kumbe tunapishana lisaa limoja tu kwa mda na huko , usafiri mkuu wa kutoka uwanja wa ndege wa Geneva ni upi? na kuna umbali gani mpaka ubalozi wa Tanzania nchini switzerland kutoka uwanjani hapo? na ubalozi wetu huko wapi, GENEVA au ZURICH kwa nchini humo?
 
Nipe connection ndg yako wa damu kabisa mm bro...lockdown ikiisha
 
ndugu naomba nikuulize tena baada ya kunijibu swali langu la kwanza na nimefahamu kumbe tunapishana lisaa limoja tu kwa mda na huko , usafiri mkuu wa kutoka uwanja wa ndege wa Geneva ni upi? na kuna umbali gani mpaka ubalozi wa Tanzania nchini switzerland kutoka uwanjani hapo? na ubalozi wetu huko wapi, GENEVA au ZURICH kwa nchini humo?
usafiri kutoka uwanja wa ndege wa GENEVA unaweza kutumia tax, basi la abiria ama train., station ya underground train (Train ya chini) ya GENEVA AIRPORT STATION ipo umbali mchache kutoka uwanja wa ndege haizidi nusu saa kwa bus au dk15 kwa tax kupafikia na ukakwaa treni safi na bora kabisa ya chini ya ardhi na station kubwa ya train ipo hapa mitaa ya Cornavin karibu na nilipokuja kuchukua chakula hiki cha bure inaitwa Gare Cornavin Train station na ni umbali mchache mpaka hapo uwanja wa ndege.

Ubalozi wa Tanzania kwa umbali siwezi kujua sawasawa lakini haizidi 10km kutoka airport ya Geneva na ukitumia train ni chini ya dk 10 utakuwa umefika inategemea na route uliyopita na train uliyopanda, kwa basi utatumia mda usiozidi lisaa limoja au tax nusu saa

Makao makuu ya ubalozi wa Tanzania yapo hapa Geneva mkuu, nadhani mtaa wa Avenue blanc kama kumbukumbu zangu bado ziko sawa ni mda kidogo sijafika hapo.
 
nakuonea wivu sana mkuu, kula maisha ndugu yangu ngoja nijipange kuna siku nitawaachia serikali ajira yao nijichanganye huko
 
ureno.jpg
 
Back
Top Bottom