usafiri kutoka uwanja wa ndege wa GENEVA unaweza kutumia tax, basi la abiria ama train., station ya underground train (Train ya chini) ya GENEVA AIRPORT STATION ipo umbali mchache kutoka uwanja wa ndege haizidi nusu saa kwa bus au dk15 kwa tax kupafikia na ukakwaa treni safi na bora kabisa ya chini ya ardhi na station kubwa ya train ipo hapa mitaa ya Cornavin karibu na nilipokuja kuchukua chakula hiki cha bure inaitwa Gare Cornavin Train station na ni umbali mchache mpaka hapo uwanja wa ndege.
Ubalozi wa Tanzania kwa umbali siwezi kujua sawasawa lakini haizidi 10km kutoka airport ya Geneva na ukitumia train ni chini ya dk 10 utakuwa umefika inategemea na route uliyopita na train uliyopanda, kwa basi utatumia mda usiozidi lisaa limoja au tax nusu saa
Makao makuu ya ubalozi wa Tanzania yapo hapa Geneva mkuu, nadhani mtaa wa Avenue blanc kama kumbukumbu zangu bado ziko sawa ni mda kidogo sijafika hapo.