Kuna bado naendelea kuki-note ambacho ni tabia yetu sisi wabongo tulio wengi tabia za chuki, wivu na roho kwa watu waliotuzidi hatua nimekuwa nikifuatilia sana nyuzi za inspiration lazma nikutane na hicho kitu hata kwa nyuzi anazoleta
Parabora naliona hili.
Mtu yuko tayari aulize maswali hata ambayo hajui ili abishane kuonekana anapinga uhusika au uhalisia wa mada iliyoletwa akijibiwa na kuzidiwa anakimbia nimefafuatilia nyuzi za
Parabora za hivi karibuni na majibu yake ni kweli jamaa anaonesha yuko dunia ya kwanza wanaompinga hawana uzito wa hoja zao ni wivu Kama kawaida yetu wabongo kuwachukia waliofanikiwa na hapa nasema ni haki kwa matajiri wa bongo kutokuwasadia maskini hawa watu nimegundua Wana roho mbaya sana
Tunalalamika hatupeani connection za nje wakati sisi wenyewe hatutaki kusikia Hadith nzuri kutoka kwa wenzetu waliofanikiwa PUMBAVU ZENU, mzee
Parabora wewe kula Bata wabongo unatujua vizuri ndio tabia zetu za kudis