Binti wa Kireno kaondoka na akili zangu kwenye foleni ya chakula cha bure Jijini Geneva (Switzerland)

Binti wa Kireno kaondoka na akili zangu kwenye foleni ya chakula cha bure Jijini Geneva (Switzerland)

Unterwalden ilikua inatambulika hvyo miaka mingi sana iliyopita kwasasa sio official name ukimuuliza mtu nataka kwenda Canton Unterwalden atakushangaa kama unamaanisha a place near Lucerne kuna kalake flani hivi but for now its different ndio mana nimeshangaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni mji wa zamani kweli lakini bado unatambulika labda Kuna mambo umechanganya
 
Kuna bado naendelea kuki-note ambacho ni tabia yetu sisi wabongo tulio wengi tabia za chuki, wivu na roho kwa watu waliotuzidi hatua nimekuwa nikifuatilia sana nyuzi za inspiration lazma nikutane na hicho kitu hata kwa nyuzi anazoleta Parabora naliona hili.
Mtu yuko tayari aulize maswali hata ambayo hajui ili abishane kuonekana anapinga uhusika au uhalisia wa mada iliyoletwa akijibiwa na kuzidiwa anakimbia nimefafuatilia nyuzi za Parabora za hivi karibuni na majibu yake ni kweli jamaa anaonesha yuko dunia ya kwanza wanaompinga hawana uzito wa hoja zao ni wivu Kama kawaida yetu wabongo kuwachukia waliofanikiwa na hapa nasema ni haki kwa matajiri wa bongo kutokuwasadia maskini hawa watu nimegundua Wana roho mbaya sana

Tunalalamika hatupeani connection za nje wakati sisi wenyewe hatutaki kusikia Hadith nzuri kutoka kwa wenzetu waliofanikiwa PUMBAVU ZENU, mzee Parabora wewe kula Bata wabongo unatujua vizuri ndio tabia zetu za kudis
😃😃🙌🏼🙌🏼 Aiseee
 
Kama Mama yake haumwi au kalazwa hospital, kama simu yake haijadumbukia kwenye maji, kama haendi kusuka, kama kesho sio birthday yake... na vingine vingi ambavyo husemwa na wadada was kibongo, basi tumeshampitisha kuwa shemeji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini mkuu?

Mengi tu mkuu.,
La kwanza unakula bata ughaibuni - hilo lilikua moja ya ndoto zangu kabisa za Maisha ila ndio hivo tena uzee unaninyemelea bado nikiwa bongo.

La pili kutafuna mtoto wa kireno - yani kiharaka haraka imenijia picha kama ile mitoto ya kibrazil kwenye porn ilionitesa sana kwa musterbation
 
Wakuu leo nimeenda kupanga foleni ya kuchukua chakula cha bure kinachotolewa na mamlaka za jijini hapa kwa ajili ya wahamiaji, nimeona haiwezekani na ni ujinga mwarabu na raia wa ulaya akapange foleni ya kupata hiki chakula halafu mimi ninunue wakati ubora ni uleule na hakuna masharti kwenye ugawaji wake, na kiukweli imekuwa siku nzuri sana kwangu nimekutana na binti mrembo sana wa kireno ambaye amevuruga kabisa akili zangu kwa siku ya leo..

Nikiwa nimevalia T-shirt yangu ya ZANZIBAR na suruali ya jeans mida ya saa4 kasoro asubuhi kwa saa za hapa Uswisi nikawa nimefika mitaa ya Cornavin linapopatikana duka kubwa la vyakula la Migros – Supermarket wanapotoa vyakula hivi kwa watu wa karibu na mitaa yangu kama serikali ilivyoelekeza kupitia matangazo ya TV.

Watu walikuwa wachache sana na hapa ndipo macho yangu yakamuona huyu mrembo ambae baada ya kuzungumza nae akanieleza ni raia wa ureno aisee sikuwahi kuwaza na kujua kabisa kama kuna wareno wazuri namna hii, uzuri ni kwamba mimi sio muoga na haikunipa shida kumsogelea baada ya kumuangalia kwa mda kidogo ili nimuanze mazungumzo na kwa bahati nzuri na yeye hakuwa na shida akaonesha ukarimu na ushirikiano wa kutosha akaniambia anaitwa Bellina anafanya kazi kampuni ya ROLEX hapa jijini GENEVA kwa sasa wamepeana rotation ya kwenda kazini ili kujikinga na mambukizi tukajikuta kadri tunavyoendelea kupiga stori ndivyo tunavyoanza kuzoeana zaidi, watu wakawa wanaona kama tunafahamiana kabla kumbe ndio siku yetu ya kwanza kukutana baadae tukabadilishana namba za simu na tukaachana baada ya kupata mahitaji yetu.

Tangu niachane naye hapo Migros Supermarket akili yote inamuwaza yeye tu,nimefika kwangu cha kwanza kufanya ni kum-whatsapp alivojibu nikajihisi amani kidogo tukaendelea tena kuchart kwa kumuwekea vibwagizo vya mapenzi na yeye anajibu kiukweli hapa naiona kabisa lockdown yangu inakuwa nzuri sana siku mbili zijazo naamini nitakuwa na mtu mzuri wa kusaidiana nae huu mzigo wa kukaa ndani, ile hali ya kizunguzungu,stress na msongo wa mawazo inaenda kuisha hivi karibuni.

Huyu mrembo amefanya mawazo yangu yasifikirie kitu kingine chochote kwa mda huu zaidi ya kumfikiria yeye peke yake na nisiwe na utulivu wa akili kabisa mpaka kuna kazi ya ofisi hapa nilipigiwa simu ili niifanye online na inahitaji umakini mkubwa ili ikamilike kwa ufanisi lakini naona kabisa nitaiharibu imebidi niwapigie simu kuwaeleza najisikia vibaya kiafya.

Nina hakika hata mipaka ya ufaransa ikifunguliwa mpenzi wangu akaja na akanifumania nae hatasema kitu kabisa, zaidi atanipongeza tu.

Chukua hatua stahiki,Corona ipo na ni hatari
Parabora
Geneva - Switzerland
Uko Geneva ya Mongo la Ndege eeh
 
Mengi tu mkuu.,
La kwanza unakula bata ughaibuni - hilo lilikua moja ya ndoto zangu kabisa za Maisha ila ndio hivo tena uzee unaninyemelea bado nikiwa bongo.

La pili kutafuna mtoto wa kireno - yani kiharaka haraka imenijia picha kama ile mitoto ya kibrazil kwenye porn ilionitesa sana kwa musterbation
😀😀😀
 
Back
Top Bottom