JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
🤣🤣🤣🤣Hamnaga demu wa kishua anaeishiwa mafuta kwenye gari we boya!
Taa ikiwaka tu ngoma inaingia TOTAL inapigwa wese mpaka mshale unagota kwenye Mswaki au Fadhili (F)! Demu anatembelea gari ambayo inawaka taa mpaka inazima unamuona wa kishua?
Kweli mkuu sitanii labda kama aliamua kunisumbua ili iwe hiviUtaenda kuharibu sasa; huenda anakuita kwa ajili ya lunch/dinner au anataka kukuungisha ktk mchongo maana inawezekana amegundua umechoka hali duni hivyo anataka kukusaidia
tumia hiyo fursa kupata konekshen badala ya kuwaza mapenzi.
after all mtoto wa kishua anaishiwaje mafuta ghafla hivyo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu hizi sasa zihakaGanda la ndizi
Kitonga
FREE P (in Lara 1 )
Marioo!!
Average Joe
P1 mkuuMkuu usipoteze bahati hiyo.....siku ya kukutana usisahau Condom pia mueleze ukweli kuwa unifamilia hiyo itakuwa sehemu yako ya kupunguzia stress za Maisha
Ur not worth to be called a husband ... https://jamii.app/JFUserGuide ... Acha ujinga shenzy ... Wanaume tunapungua kwa kasi ya ajabu sana ..acheni kupenda mtelezo ... Mfanye mkeo awe hivyo mambo safi ..daaah ... By now even if I will die na kumuacha wife ... ana kila kitu ni yeye kuniheshimisha ama kunidharaulisha ... Mwanaume pambana kenge wewe usipende mteremko ...Buheri mazee
Ebhana majuzi kati hapa nilikua napita zangu kandokando ya barabara kwambali nikaona gari imesimama nilivyoikaribia na kuanza kuipita ghafla ilitoka pisi kali Sana ikaniita"samahani kaka" nikasema bila samahani, Gari yangu imeisha mafuta na cjatembea na akiba hivi shell Iko wapi maeneo
Yamenikuta mwenzioHahaaa mjini hapaa unanikumbusha wimbo wa Mr P unaoitwa paloma video yake ni kisa chako
[emoji16][emoji16][emoji16] sawa mkuuUkiombwa mtoke haimaanishi mwende gesti kweli nimeamini wewe ni masikini mwenzangu mara nyingi uwatuwazaga papa tuu.
Nampenda mkuuWewe humpendi?
Hizi sasa husdaAcha Tamaa mbaya!
Kama vipiKuna vitu vinasikitisha sana!!
Heee kweli mkuuUnaleta story za Nigerian Movie kwenye real life!!
Acha tuoneAliyekuambia anakutaka nani?[emoji23][emoji23]
How old are u?[emoji706][emoji706][emoji706]
Binafsi napenda watu waaminifu hasa kwenye michongo. Maybe ana mchongo anataka akupe? Usipende kujipa sana umuhimu aisee
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Mmh sawa ingawa umeanza kwa kunikejeriIla jamani hebu wanaume kaeni na hawa wavulana muwape Elimu ya uanaume kamili. Kadiri siku zinavyoenda ndo wavulana wanazidi kuwa wengi. Yaani wanapenda kitonga balaa. Yaan vijana wa kiume wanadanga kupita maelezo. Sasa kuna raha gani hapo ya uanaume.
Anyways, kuwa honest ndo kila kitu.... ndo maana wengi hawapigi hatua..kuwa mkweli kama mtu ana malengo ya kukusaidia atakusaidia. Mapenzi siku zote mwisho wake ni mbaya hasa uongo ukitamalaki
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Ukisikia mamba kaingia mkenge ndiyo huku mkuu bahati ya mwenzako usiilalie mlango waziSema ukweli unaofanana sasa wewe umemkuta barabarani umejuaje kama kwao wana mawe anyway nitumie namba zake ili nikuwekee mambo sawa
Amini hivyoKwahiyo wenye magari yote ni matajiri??
Kwajinsi alivyokuwaUmejuaje kama kwao wana hela?
[emoji16][emoji16][emoji16] Mimi si limbukeni kiivyo mkuuWewe jamaa siyo Mwanaume wa shoka, Yaani kuambiwa utenge siku moja mkutane umefurahi hivi na unasema amekuelewa,akikupa kabisa si utachanganyikiwa??.
Ahsante mkuuMimi sikulamba sukari Wacha ujinga wako tulimshauri vizuri hapa muokata pete za mzungu so na wewe tunakushauri huyo mdada kakusifiya kutokana na uaminifu wako hajasema kama anakupenda ,nenda ukaonane nae ujue anataka nini pengine ana mchongo wa kazi kwa hivyo nyege zako ziweze na vile vile akikuuliza personel life yako mwambie ukweli ili ule uaminifu wako wende sambamba ,jiamini ww ni kidume usikubali mtu yyote kukuchezea akili tamaa mbele mauti nyuma kila kingaracho si dhahabu kuna shaba vile vile inangaraa.
[emoji16][emoji16][emoji16] Nilijua tuu hukosi anga hizi na sipati picha unavyoimezea mateSasa Mkeo yeye anamuhusu nini...?? KWANI UNATAKA KUMUOA HUYO DEMU MPYA.
Acha uboyaa kulaa pitaa hivii