Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,187
- 4,857
- Thread starter
- #161
Jpili mkuu ndiyo nameet so usiwaze kuhusu hiloTupe mrejesho mkuu mtoto wa kishua ana jambo gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jpili mkuu ndiyo nameet so usiwaze kuhusu hiloTupe mrejesho mkuu mtoto wa kishua ana jambo gani
Sijui pengine aliamua kunisumbua ila Mungu akitaka kukupa hakuandikiiHii nayo chai tu yani wakishua atoke anaenda Safari ndetu asichek geji ya mafuta..gari sio bajaji bn
Hakuna tofauti kati ya kumchepuka mke na kumuacha!. Acha kujifariji ujinga.Wanaume sometimes tunakosea sana. Mwanaume anaejielewa hata akichepuka kamwe hawezi kumuacha mkewe. Mkuu hii porojo uliyokuja nayo ni kama vile unataka tukushauri umpige chini mkeo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kamsikilize, mwenzako anatafuta shamba boy kakuona u mwaminifu, utamfaa.
Kwahiyo wewe ukichepuka ni umemuacha mkeo sio?Hakuna tofauti kati ya kumchepuka mke na kumuacha!. Acha kujifariji ujinga.
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Naanzaje kumchepuka mke wangu kwa mfano?. Msipende kuchukulia mambo mazito kiwepesi wepesi tu. Yaani mtu amwache mkewe ndani kisha amchepuke nje huko halafu eti umfariji kwamba mtu huyu bado yupo na mkewe. Hakuna ndoa tena hapo rafiki. Aliyechepuka kashajitenga na mwenza wake. Kama unaijua thamani ya ndoa kadiri Mungu alivyokusudia basi utanielewa ninachomaanisha vinginevyo huwezi kunielewa kamwe.Kwahiyo wewe ukichepuka ni umemuacha mkeo sio?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ushauri wa kibabe Sana huuNakushauri telekeza familia[emoji852][emoji852]
Kwaiyo,Hamnaga demu wa kishua anaeishiwa mafuta kwenye gari we boya!
Taa ikiwaka tu ngoma inaingia TOTAL inapigwa wese mpaka mshale unagota kwenye Mswaki au Fadhili (F)! Demu anatembelea gari ambayo inawaka taa mpaka inazima unamuona wa kishua?
Na kweli atafaa kuwa shamba boy ..maana kitendo cha kukatiza safari zake na kufata mafuta na kupewa hela akaichukua ilikuwa ishara tosha kwa binti yule kuwa jamaa hana kazi ila ni mwaminifu😂😂Nenda kamsikilize, mwenzako anatafuta shamba boy kakuona u mwaminifu, utamfaa.
Si unasema wewe hujalamba sukari? Lamba hiyo sasa ukiona tamu uwe na wake wawili...Mke wangu ananipenda sana
Dada kaongea facts
Una umri gani?Naanzaje kumchepuka mke wangu kwa mfano?. Msipende kuchukulia mambo mazito kiwepesi wepesi tu. Yaani mtu amwache mkewe ndani kisha amchepuke nje huko halafu eti umfariji kwamba mtu huyu bado yupo na mkewe. Hakuna ndoa tena hapo rafiki. Aliyechepuka kashajitenga na mwenza wake. Kama unaijua thamani ya ndoa kadiri Mungu alivyokusudia basi utanielewa ninachomaanisha vinginevyo huwezi kunielewa kamwe.
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app