mwanadome
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,950
- 5,317
afadhali mkuu umeliona hilii.hivi kuna maana gani ya kusomesha madaktari wengi wanaoishia kua wauza pweza?.NGOJA NAMI NICHANGIE KIDOGO...
Tusipende sana wasomi kufanya mambo tofauti na carrier zao...
AFRIKA NI MASIKINI KWA SABABU WASOMI WENGI HAWAFANYI VILE WALIVYOSOMEA.. UNAKUTA KASOMEA IT LKN ANAUZA NGUO...
TUKUBALI KUWA TUMEPOTEA....
KAMA ALISOMEA UJASIRIAMALI BASI AMEPATIA SANA NA ANAFANYA KILE AMBACHO ANAPASWA KUFANYA ILA KAMA KASOMEA TOFAUTI NA HAPO YUKO WRONG NA HII NI KWA SABABU YA UMASIKINI WETU.
WASOMI WETU WAANGALIWE VIZURI NA KAMA NCHI LAZIMA TUWE NA SERA MADHUBUTI ZA KUWAWEZESHA HAWA WASOMI... TUSICHEKELEE UPUUZI HUU.. MTU KATUMIA GHARAMA KUBWA AFU ETI UNAMSIFIA KUUZA KANDE?? SI BORA ANGEANZA KUUZA TANGIA ZAMANI?? HAKUNA MWENYE KUSOMA AKAWAZA HAYO MAMBO.. ALWAYS HUTOKEA MARA BAADA YA KUSHINDWA KWA SERA ZETU ZA KUIINUA WASOMI WETU...
NCHI YA HOVYO SANA HII.. NA NI AIBU KWA TAIFA KWA WATU KUFANYA VITU AMBAVYO HAWANA UTAALAMU NAVYO..
Sent using Jamii Forums mobile app
ukitafakari sana ni ile dhana ya tabaka tawala kutaka kukwepa wajibu wao.na mara nyingi wano shadidia sana hizi mambo za kujiajiri kwa kufanya chochot hata kilicho nje ya taaluma yako wao ni waajriwa.
Mfano mzuri ni kigwangala(mzee wa nje ya box),yeye kila siku nikupga ngonjera za nje ya box wakati yeye mwenyewe yuko ndani ya box,tena tunduni kwamba akisema suu tuu anamwagwa tena kwa kudharilishwa kama ndugu yetu mwigulu.