Binti wa kishua, mwenye shahada toka Marekani amejiajiri kuuza makande, dada zetu maskini wanachagua kazi

afadhali mkuu umeliona hilii.hivi kuna maana gani ya kusomesha madaktari wengi wanaoishia kua wauza pweza?.

ukitafakari sana ni ile dhana ya tabaka tawala kutaka kukwepa wajibu wao.na mara nyingi wano shadidia sana hizi mambo za kujiajiri kwa kufanya chochot hata kilicho nje ya taaluma yako wao ni waajriwa.

Mfano mzuri ni kigwangala(mzee wa nje ya box),yeye kila siku nikupga ngonjera za nje ya box wakati yeye mwenyewe yuko ndani ya box,tena tunduni kwamba akisema suu tuu anamwagwa tena kwa kudharilishwa kama ndugu yetu mwigulu.
 
Sisi ni watu wa hovyo sana. UJAMAA ulishatufanya kuwa mazezeta. Kuna jamaa fulani alikuja na wazo sehemu kuwa mazee kuna this business, na hapa tukipool resources zetu tutatoka kila mmoja apate 10% share. Mama yangu watu walimpiga za uso mpaka jamaa akajitoa grupuni. As im speaking jamaa gona be billionaire soon.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh aiseee kizungu choote anakimalizia kwenye makande
 
Makande haya haya ya kupimiwa kwenye kikombe cha plastic au ni mengine..kama ni hivyo bas amafail..wala msimjaze kichwa
 
Kusema ukweli hiyo fani aliyosoma ni kipuuzi, ngoja auze Makande aajiri Vijana wengine na awe mfano bora kwa Vijana wengine wanaosoma Fani za kipuuzi kama hizo!
 
Package 1 tsh 5000
Deliveries 40 /day
Total tsh 200000
Angalia anavofanya biashara yake na alivojitofautisha na wauza kande unaowajua wewe ndo utajua kua she is one of the best small entreprenuers

Sent using Jamii Forums mobile app
umekimbilia kuangalia faida na kulinganisha na watu wa kawaida ujapiga hesabu ya vifungashio,mchakato wa kuunga (viungo vyake)

jumlisha na ada ya elimu yake, anakuja fanya upumbavu alafu mna muunga mkono
 
Kusema ukweli hiyo fani aliyosoma ni kipuuzi, ngoja auze Makande aajiri Vijana wengine na awe mfano bora kwa Vijana wengine wanaosoma Fani za kipuuzi kama hizo!
Usimdharau ako na Bachelor degree in Finance and Business pamoja na Master in Project Management. Kwa taarifa yako mie nshakula Makande yake anauza Kati ya lunch boxes 160 - 200 @ 5000/=kwa siku anapata 800,000/= Hadi 1, 000, 000/=. Ni pesa ambayo hata angefanya BOT asingelipya. Pia ameajiri vijana so ni Enterpreneure mbunifu. Mi mteja wake ni msafi sana hata lunch boxes kaziagiza China.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…