Tempus Fugit
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 850
- 2,212
Ninachokiona hapa ni watu kudharau "makande" na si kingine. Yaani ukiuza makande unaonekana kama hujui vile...
Ila makande hayo hayo yanaweza kumtajirisha huyo dada. Just give her time.
Kingine wanaomponda wengi nadhani si wajasiriamali...maana huwezi kuidharau fursa ambayo inaweza kuwa chanzo kikubwa cha fedha. Wewe unapoona kuuza makande kuwa ni upumbavu, yeye anaona pesa.
Lastly, elimu inayosomewa darasani mara nyingi haimuandai msomi kujiajiri...bali humuandaa kama mtumishi sehemu fulani. Ndiyo maana darasa la 7 anaweza kumuajiri mtu mwenye masters.
Kusoma Marekani tu bado hakukupatii fedha, kurudi nyumbani Tz ni uamuzi mzuri maana fursa bado ni nyingi sana compared na US ambako almost kila eneo tayari limeendelezwa. Rudi home jenga uchumi wa nyumbani.