Binti wa kishua, mwenye shahada toka Marekani amejiajiri kuuza makande, dada zetu maskini wanachagua kazi

Your Thread , , Is Pontentially Offensive,you Can Not Generalize In Such A Way.B'se Ladies Who Are Graduate Are Many, And You Have Not Yet Seen Enough Of It To Make Such Generalizations,,. It Also Adds Nothing To The Main Issues That You Raise Which Is Quite Good And Useful, . How We Open Our Pitch Matters.B'se We Can Put Off People Or Get Into An Engagement Before Even Start,. You Have To Appreciate The So Called Individual Difference,,,,,,. Kuwa Msomi Ni Pamoja Na Kukubali Kutokubaliana Na Wenzako,,, Katka Biashara Kama Hana Kipya Kwenye Hayo Makande Alichoongeza (game changer,) Basi , Nami Nasema Ni Lulu Iliyopotea, Lazima Tujifunze Kutokubaliana Na Wengine Bila Jaziba,,,.
 
Mkuu nakuunga mkono na miguu yote kwa pamoja. Ni hivi watu tunaishi bila kujua our purpose on this planet earth, tunaishi bila plans. Mtu anaenda shule kusomea let's iT hiyo hiyo uliosema hapo lakini hana lengo au motive au purpose yoyote baada ya kupata hiyo knowledge ni vipi ataitumia kuleta mabadiliko in our society and to make money for him / herself. Na ndo mana wachache sana ambao hata wakiingia kwenye biashara (baada ya kukosa kazi) wanafanya biashara zilizo opposite kabisa na miaka ya tabu, jasho na damu waliyoitumia kuipata knowledge hiyo chuoni.
Unaweza sema ameamua kuifanya biashara yeye aliyoiona ina fursa but najiuliza kama alikua na lengo hilo tangu mwanzo why hakwenda kusomea kitu kitakachoendana na biashara atayotaka kuja kuifanya instead of kupoteza muda kwny masomo ambayo at last hatakuja kuyatumia!.
NGOJA NAMI NICHANGIE KIDOGO...
Tusipende sana wasomi kufanya mambo tofauti na carrier zao...
AFRIKA NI MASIKINI KWA SABABU WASOMI WENGI HAWAFANYI VILE WALIVYOSOMEA.. UNAKUTA KASOMEA IT LKN ANAUZA NGUO...
TUKUBALI KUWA TUMEPOTEA....
KAMA ALISOMEA UJASIRIAMALI BASI AMEPATIA SANA NA ANAFANYA KILE AMBACHO ANAPASWA KUFANYA ILA KAMA KASOMEA TOFAUTI NA HAPO YUKO WRONG NA HII NI KWA SABABU YA UMASIKINI WETU.
WASOMI WETU WAANGALIWE VIZURI NA KAMA NCHI LAZIMA TUWE NA SERA MADHUBUTI ZA KUWAWEZESHA HAWA WASOMI... TUSICHEKELEE UPUUZI HUU.. MTU KATUMIA GHARAMA KUBWA AFU ETI UNAMSIFIA KUUZA KANDE?? SI BORA ANGEANZA KUUZA TANGIA ZAMANI?? HAKUNA MWENYE KUSOMA AKAWAZA HAYO MAMBO.. ALWAYS HUTOKEA MARA BAADA YA KUSHINDWA KWA SERA ZETU ZA KUIINUA WASOMI WETU...
NCHI YA HOVYO SANA HII.. NA NI AIBU KWA TAIFA KWA WATU KUFANYA VITU AMBAVYO HAWANA UTAALAMU NAVYO..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani mwandishi wa Millard Ayo aliyeweka habari youtube na mwanzishi wa mada hii mmefanya kosa moja la kuchukua title, nimeangalia interview ile yote na yule dada siyo muuza makande,

Anauza chakula kwa ujumla, sema katika menu yake kuna siku ya makande, na ni aiku moja kwa week, sasa wamechukua hiyo na kuifanya title, ni kosa.

Pia yule kasoma project management, baada ya kukosa ajira si vibaya kuja na hiyo project ya catering siyo kosa, though anafanya out of passion.

Narudia kuna makosa ya uwasilishaji wa hii taarifa, yule ana biashara ya chakula kwa ujumla na anafanya delivery kwa wateja wake.
 
Unaweza ukaajiriwa ila ukawa unalipwa 25 million kwa mwezi,so be careful

Noma
Labda kama unalipwa kwa Euro/USD na inetegemea pia umejiweka vipi kwenye elimu? Sio una digrii ya bongo utake ulipwe 25m hiyo ni ndoto ya asubuhi hata kama HR ni basha wako!
 
Kama umesoma elimu yako haijakukomboa bado, nachelea kusema nawe utakuwa kundi moja mliokosa ajira na kushindea kuitumia elimu mliopata mkaamua kukimbilia kilimo cha matiki tiki, ufugaji wa kuku na upikaji makande

Mfumo wa elimu unakuandaa kuja kuwa/kufanya kazi fulani ndio maana una invest muda na pesa kupata hiyo elimu, kama umeshindwa kuitumia elimu yako wewe ni failure hata hivyo vyeti ukavichome moto.

Usitake kuaminisha wote walioajiriwa ni mafala kuna kada ambazo huwezi kuanza tuu kwa kujiajiri mf. Walimu wote wakimaliza chuo watoke wakafungue shule zao au tuition centre na madaktari hivyo hivyo.

Wakulima wajasiriamali mnafurahisha sana na mindset zenu za kimasikini kama ishu ni kujiajiri kwanini asitumie elimu yake kufanya kitu?Na hata kama ni mjasiriamali kwanini asifanye corporate level entrepreneurship?kwa elimu yake ya masters anazidi kupoteza muda

Ninajua watu waliojiri na walioajiriwa wanafanya hizi biashara kama chanzo kingine cha mapato

Mifano ipo mingi ya wajasiriamali ambao hawajapoteza mda shule kihivyo ma wamefanikiwa hao ndio tunatakiwa kuwapongeza na kuwatumia kawa watu wanao inspire wengine, siyo failure walioshindwa kutumia elimu yao
hivi inakuaje umesom marketing na ukaamua kujiajiri kwenye biashara yako mwenyewe as market manager

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mi nadhani muda mwingine wazazi wanachangia watoto wao kufanya vitu wasivyovipenda. unaweza kukuta huyo dada toka mwanzo alipendelea kujiajir kwenye upishi lakin kwa sabab wazaz hawakupenda walitaka asome aje kuajiriwa benki wakamlazimisha matokeo yake ndio hayo anafanya kitu anachokipenda kwa elimu yake asingekosa kazi hata benki lakin huko siko anakokupendelea
 
Shukuru kwa uwezo ulionao, huyo Dada tuu umesema ni mtoto wa kishua. Then haitokaa itokee watu wote kujiajiri, huyo Dada mwenyewe kuna watu kawaajiri , ukiwa na maduka yako 10 utauza yote pekeyako? ni lazima uajiri watu,hivo concept ya kuponda walioajiriwa wakati umeajiri watu ni nonsense, huyo Dada nampongeza kwa kujiajiri na kuajiri wengine,. Ndo dunia ilivogawanyika , ndo maana kuna wabeba mizigo, mainjinia, madaktari, walimu, wanasheria, wote tunategemeana hivo ukiona umefanikiwa usione wengine kwamba hawawezi kutumia fursa, la hasha ni nature ndo ipo hivo, hakuna asiyependa maisha mazuri,, kama una maisha mazuri shukuru kwa ulicho jaliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto wako akikwambia baba sitaki shule nataka niwe mnyanyua zege na kufanya kazi za vibarua utamfanyaje, inabidi umuache eti kisa dunia inamgawanyo kwamba hata kukiwa na enjinia atahitaji vibarua, jibu hapana.

Kweli dunia ina mgawanyo wa watu tofauti ila tunachofanya ni kuelekezana tuwe kwenye ule mgawanyo mzuri kweli kutakuwa na waajiriwa na waliojiajiri ila upaande mmoja ndio unauwanja mkubwa was kutusua kimaisha so lazima tuelekezane huko ila haimaanishi kwamba wote wataenda huko kwasababu hata kwenda yenyewe sio rahisi kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama umesoma elimu yako haijakukomboa bado, nachelea kusema nawe utakuwa kundi moja mliokosa ajira na kushindea kuitumia elimu mliopata mkaamua kukimbilia kilimo cha matiki tiki, ufugaji wa kuku na upikaji makande

Mfumo wa elimu unakuandaa kuja kuwa/kufanya kazi fulani ndio maana una invest muda na pesa kupata hiyo elimu, kama umeshindwa kuitumia elimu yako wewe ni failure hata hivyo vyeti ukavichome moto.

Usitake kuaminisha wote walioajiriwa ni mafala kuna kada ambazo huwezi kuanza tuu kwa kujiajiri mf. Walimu wote wakimaliza chuo watoke wakafungue shule zao au tuition centre na madaktari hivyo hivyo.

Wakulima wajasiriamali mnafurahisha sana na mindset zenu za kimasikini kama ishu ni kujiajiri kwanini asitumie elimu yake kufanya kitu?Na hata kama ni mjasiriamali kwanini asifanye corporate level entrepreneurship?kwa elimu yake ya masters anazidi kupoteza muda

Ninajua watu waliojiri na walioajiriwa wanafanya hizi biashara kama chanzo kingine cha mapato

Mifano ipo mingi ya wajasiriamali ambao hawajapoteza mda shule kihivyo ma wamefanikiwa hao ndio tunatakiwa kuwapongeza na kuwatumia kawa watu wanao inspire wengine, siyo failure walioshindwa kutumia elimu yao
Niipi tafsiri yako ya kufeli na kufaulu, au kuelimika kiujumla.

Ni lazima ujiajiri kwenye fani yako ndio uwe umefaulu na kuelimika, he unajua power kiasi gani inahitajika ya kujiajiri kwenye fani yako je most of us from poor family tunayo iyo power.

Mtu umesomea HR ukajiajiri kwenye kufuga kuku iweje uwe umefeli nawakati unatatua tatizo la njaa, ukosefu wa virutubisho, ajira nk kwajamii na kujipatia mapato yako na mapato kwa selikari kivipi uwe ujaelimika.

Mwisho ieleweke misoto ya maisha tunayopitia sio yakitoto na haifanani chakwanza ni unaangalia mapato yako then ndio jamii inafaidika vipi.

Tafsiri yangu ya kufeli ki elimu ni kushindwa kuona fursa zilizopo katika eneo uliloamua ku invest muda na fedha kwa ajili ya kujifunza.
 
Hv hizi kande anazouza huyo mdada msomi zina tofauti gani na kande zetu za kawaida? embu mtuekee picha za hzo kande au mahal uyo bibie anauza tukatest ladha
 
Dada wa Kande asubuhi akiamuka anenda ofisini kwake, ni Mwanamke na hafanyi kazi ya mwanaume au mwanamke mwenzake.

Sasa nashangaa sisi wenye kufanyia kazi wanaume wenzetu ndo mabingwa wa kuponda ila wale wanao amka asubuhi na kwenda kutekeleza idea zao wenyewe ndo wanao msifia

Mwanaume kama una fanya kazi kwa mwanaume mwenzako then una mponda Mwanamke ambaye yeye anafanya kazi kwake mwenye basi una matatizo makubwa sana.

Yaani Sisi waajiriwa ndo mabingwa wa kukosoa biashara za watu kwamba Oo anajidhalilisha, ana Degree kwa nini auze kande.

Wewe mbona na usomi wako una fanya kazi ya mwanaume mwenzako? ni mara hata 100 wanawake ndo wamponde mwanamke mwenzao ila sio Sisi Wanaume tunao fanya kazi kwa wanaume wenzetu.

NI LITARAJIA WAFANYA BIASHARA AKA WAJASIRIANALI NDO WAMPONDE DADA ILA SASA NI KINYUME CHAKE

Sent using Jamii Forums mobile app
Yule dada wa kande wa Mwanza namkubali sanaaaa…… anaemponda huyo atakuwa na kichaa +
 
Unawajua wanaomponda?
 
Yule dada anaakili sana alisema per day Ana earn zaidi ya lako mbili sasa unampondaje mwanamke mwenye akili kama yule?
 
Dada wa Kande asubuhi akiamuka anenda ofisini kwake, ni Mwanamke na hafanyi kazi ya mwanaume au mwanamke mwenzake.

Sasa nashangaa sisi wenye kufanyia kazi wanaume wenzetu ndo mabingwa wa kuponda ila wale wanao amka asubuhi na kwenda kutekeleza idea zao wenyewe ndo wanao msifia

Mwanaume kama una fanya kazi kwa mwanaume mwenzako then una mponda Mwanamke ambaye yeye anafanya kazi kwake mwenye basi una matatizo makubwa sana.

Yaani Sisi waajiriwa ndo mabingwa wa kukosoa biashara za watu kwamba Oo anajidhalilisha, ana Degree kwa nini auze kande.

Wewe mbona na usomi wako una fanya kazi ya mwanaume mwenzako? ni mara hata 100 wanawake ndo wamponde mwanamke mwenzao ila sio Sisi Wanaume tunao fanya kazi kwa wanaume wenzetu.

NI LITARAJIA WAFANYA BIASHARA AKA WAJASIRIANALI NDO WAMPONDE DADA ILA SASA NI KINYUME CHAKE

Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi yoyote unayofanya unamfanyia mtu mwingine uwe umeajiriwa au umejiajiri
 
Your Thread , , Is Pontentially Offensive,you Can Not Generalize In Such A Way.B'se Ladies Who Are Graduate Are Many, And You Have Not Yet Seen Enough Of It To Make Such Generalizations,,. It Also Adds Nothing To The Main Issues That You Raise Which Is Quite Good And Useful, . How We Open Our Pitch Matters.B'se We Can Put Off People Or Get Into An Engagement Before Even Start,. You Have To Appreciate The So Called Individual Difference,,,,,,. Kuwa Msomi Ni Pamoja Na Kukubali Kutokubaliana Na Wenzako,,, Katka Biashara Kama Hana Kipya Kwenye Hayo Makande Alichoongeza (game changer,) Basi , Nami Nasema Ni Lulu Iliyopotea, Lazima Tujifunze Kutokubaliana Na Wengine Bila Jaziba,,,.
Daah Mkuu umenipa tabu sana kusoma Comment yako. Hope mwalimu wako wa mwandiko alifanya kazi yake vizuri
 
Back
Top Bottom