Hahahah umelenga mule mule!nazani ulivyo fundishwa biashara ni kuuza Magari. vipi angefungua Yard ya kuuza Magari pia ungeongea hivi?
Yeye kaona furusa na bishara bi Biashara hata kama ni ya kuuza paka. kikubwa kuna profiti.
nyie ndo mmemezeswa kwamba biashara ni kuuza Magari na kufungua maduka ya nguo hizo ndo biashara mnazo zijua
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku zote ukifanya kitu tofauti na wengine lazima ufanikiwe!
😀😀😀😀😀😀😀Wewe utakuwa zezeta wa karne na karne. Unaona mafanikio ni kuajiriwa na kukaa nyuma ya keyboard walizonunua vidume sio, au Unaona ujanja ni hicho kijishahara cha 2m sio? Utakufa masikini ww
utakuta msomi ana degree anafuga kuku aibu sana
Mie ninayo ila naogopa kukupa kwani competition itakuwa kubwaNaomba mawasiliano yake
Hhahahahahaaa sio kweli, saa ingine Ddadii huwa ananiandikiaga vitu vya kujibu huku JF.
Mie nnayotoa kichwani kwangu ni Mahaba tuu, mengine chaliii heheheheee
Thanks by the way.
Hiki ni kishindo cha awamu ya tano
Yule jamaa wa kihindi alitushika pale ..mashatri ya scholarship yalim'bana tu..Kuna jamaa alikataa mshahara wa USA akarudi bongo akafungua ofisi mwaka jana ofisi yake ikashirikia shindano ikashinda zaidi ya 200M.
Huyu dada, Degree na Master ya Nje. Anauza makande.
Mimi sidhani kama mtu kufanya biz ya chini inatakiwa ihesabiwe kama inspiration kwa job seeker. Alitakiwa atuonyeshe tofauti yake kama huyo jamaa aliyekataa ule mshahara.
Hapa Tz tayari tuna degree holder anauza uji mwingine anauza mihogo. Yaani ni kwamba degree na master ya nje imewaza sawasawa na degree ya bongo jua kali.
Ndiyo hawatutangazi hata mie nna digrii na nauza maandazi, mi kwake sioni ajabu hapoMimi nna degree ya SAUT nachoma mahindi hapa darajani hapa Mbeya.Huyo hafanyi biashara anajitangaza,tupo wengi huku tunatokea kwenye familia maskini mnoooo nadhani ndiyo maana hamtutangazi.....HAKUNA MTU HAPENDI KUFANYA KAZI,HAKUNA MTU ANAPENDA KULA BURE,SHIDA NI MTAJI NA KUPATA KAZI YENYEWE.
Mtaji wa kuuza makande wa uswahili unamshinda?
Mitaji ya kuuza makande na ice cream na biashara kama hizo??Kiukweli umeongea point ya maana lakin walio wengi humu Kwa unafki wao hatokosa sababu ya kupinga hoja yako ila kiukweli mitaji ndio inawakwamisha sana vijana katika kufikia malengo
Hayo makande na biashara kama hizo zinahitaji mtaji shing ngapi??Wengine hawana mtaji,wengine ni masistaduu yaani akiwa na degree au masters ahangaike na umama ntilie wakati ana PHD ya sura na Makalio na mjini yanatoa ajira.
Mimi nna degree ya SAUT nachoma mahindi hapa darajani hapa Mbeya.Huyo hafanyi biashara anajitangaza,tupo wengi huku tunatokea kwenye familia maskini mnoooo nadhani ndiyo maana hamtutangazi.....HAKUNA MTU HAPENDI KUFANYA KAZI,HAKUNA MTU ANAPENDA KULA BURE,SHIDA NI MTAJI NA KUPATA KAZI YENYEWE.
Lengo lake kubwa ni kujulikana tu kama kwao mboga nane matunda kibao juice na vyoda, lakini anauza makande na ame somea marekani hilo ndo lengo lake. Hakuna cha makande ya kisasa wala nini kande ni kande tu hakuna kisasa wala nini!
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenena vyema kabisa kwani wengi tunakimbilia changamoto ya mtaji kutafuta huruma lakini ukweli mitaji ipo tatizo wengi ukiwauliza wanataka mtaji wa shilingi ngapi watakujibu milioni kadhaa wakati katika maisha ya kawaida unakuta hatuna hata laki 2 tunayomilki. Hivyo badala ya kuwaza mtaji wa kuanzia milion moja na kuendelea, tunatakiwa tuanze na kile ambacho kipo ndani ya uwezo kukipata yaani kama laki 2 tu kuishika ni tabu basi level zetu za kuanzia ziwe humo humo kwenye fifty mpaka laki 2 nina imani tukifikiria katika mtazamo huo tutatoka na ndio msemo wa wahenga unapokuja "mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe" yaani anza pale ulipo kwa wakati huo mengine yatakuja ikiwa pamoja na connectionsMitaji ya kuuza makande na ice cream na biashara kama hizo??
Hebu scan simu na nguo wanazomiliki..
Inashindikana kupunguza unbasic needs (vitu ambavyo hata ukivikosa hufi) ili kuhifadhi mtaji?
#YNWA
Wrote from Anfield..!!