Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 1,821
- 3,980
Wengi wao hutoka familia zinazojiweza kiuchumiMaswali ni mengi. Dawa gani? Alianzaje? Alianza lini? Anapata wapi? Anapata wapi hela ya kununulia?
Kwao Mwanza na ni wa kishuaAtakuwa ametokea buza
Ni mtoto wa kishua kwao Mwanza. Ndio hawa LIKUD anawazungumziaga, watoto wa EMS . English Mediums zina waharibuSWali gumu na muhimu, ilikuwaje akawa teja, na ni madawa gani hayo.
Jambo la msingi kama hayuko tayari kuacha ni ngumu kumuachisha kwa kweli.. shida ipo kwenye utayari..
Kama hayuko tayari atatoka sober na atarudia
If she's 15, huyu ni mtoto why the hell are you posting her photo ? Moderator
Wa Kishua Capri point MwanzaDuh mdogo sana
Anapata kwao. Wa Kishua. English MediumDuuh miaka 15,mtoto wa kike ,anakula unga 🤔🤔🤔.
Anapata wapi hela
Kumbe wanampa.Anapata kwao. Wa Kishua. English Medium
Mkuu Binti kashapatikana Utu wake utunzwe huyu ni mtoto.Haujui kuwa picha zake nyingi zipo mtandaoni maana kwa akili yako unafikiri wangempataje pasipo kushare picha zake.!?
Acha utoto mkuu..Mkuu Binti kashapatikana Utu wake utunzwe huyu ni mtoto.