Binti wa miaka 15 mwenye uraibu wa dawa za kulevya

Kaka sheria inakataza soma

The Law of the Child Act, 2009 [Cap. 13 R.E. 2019] section 33 (1 ).​

Kasome Jurisprudence. Hiyo legislation uliyo recite ni ya kpuuzi kupita maelezo. Kijana mwenye miaka 17 akimnajisi mtoto mwenye miezi mitatu anafungwa kifungo cha nje mwaka mmoja au miwili na faini ya laki mbili. Kisa? Eti miaka 17 bado ni mtoto kisheria. Upumbavu mtupu. Meanwhile kijana wa miaka 19 akimpa mimba binti wa miaka 17 anafungwa maisha eti amebaka. Upumbavu mtupu. Eti inasema maamuzi ya kisheria yanayo husu mtoto yazingatie maslahi mapana ya mtoto. Kati ya binti wa miaka 17 kijana wa miaka 19 na mtoto wao mwenye mwezi mmoja, ni na ni mtoto zaidi Kati Yao? Ni nani ambae sheria inatakiwa kuzingatia maslahi yake? Je ni kwa maslahi ya mtoto kumfunga baba ake?

kKati ya kijana mwenye miaka 17 alie mnajisi mtoto wa miezi mitatu vs kijana wa miaka 19 alie mpa mimba binti wa miama 17 ni nani anae stahili kufungwa miaka 30.

Mimi sio mwanasheria Ila Nina bachelor na ninapenda sana kusoma vitabu. Nilopokuwa chuo nilisoma kuhusu JURISPRUDENCE..

HUPASWI KUTAFSIRI SHERIA KAMA ZILIVYO ANDIKWA. UNAPASWA KUTAFSIRI SHERIA KAMA ZINAVYO TAKIWA KUWA
 
Nashkuru Picha imeshushwa, Hoja zako na misingi yako zisiingilie uhuru na haki za wengine, let's be positive and humanly, ukija kuwa Mzazi utaelewa tunachokipambania.
 
Hizo rehabilitation centers ni mpaka mraibu mwenyewe aamue kuacha ndiyo anapelekwa huko kupata usaidizi,km hajaamua ni kupoteza muda tu.

Halafu huyo binti inaelezwa siyo uraibu wa dawa,ni malaya anauzwa kwenye danguro moja na watoto wengine.
 
Kwann Mods wametoa picha? Mbona Malisa IG bado ipo?
IMG_8932.jpeg
 
Back
Top Bottom